Pichani toka kulia (Tshirt ya Blue) Mr Nsanganiye akiwa na mwanaye kipenzi Baby PATRICIA , Athuman Hamis aka baba Glory, na mpiganaji Mr Peter Gweso aka Baba Cathy, hafla hii ilifanyika nyumbani kwa Nsanganiye Minaki Kisarawe mkoa wa Pwani .
Mkuu wa msafara wa wafanyakazi wa City Branch Mr Athuman akikabidhi bahasha ya KAKI kwa Mama Patricia aka Mrs Nsanganiye kama sehemu ya pongezi kwa zawadi familia waliyojaliwa na Mungu kupata mtoto . |
Meza ilichafuka sana , msosi wa asili na vinywaji visivyogoshiwa vilikuwa tele . |
Blogger naye akijenga mwili wake bila kufanya ajizi , duu menu hii tamuuuuu. |
Post a Comment