Kilimanjaro Stars wakishangilia goli la mojawapo lililofungwa na John
Bocco wakati wa mchezo dhidi ya Sudan katika michuano ya CECAFA
Challenge katika Uwanja wa Mandela Jijini Kampala, magoli yote yalifungwa na BOKO , hivyo kuanza kampeni vyema ya kulitwaa kombe hilo , Mungu ibariki Kilimanajaro Stars, Mungu ibariki Tanzania .

Post a Comment