Kitengo cha komputa cha Chuo kikuu cha Dar es Salaam sehemu ya mlimani (UCC) kimefanya mahafali ya pili toka kuanzishwa kwake kwa ngazi ya astashahada, stashahada na Post graduate in IT , sherehe hizo zimefanyika katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.Katika mahafali hayo wahitimu wametoka katika vituo vya Dar es Salaam, Mwanza, Arusha,Mbeya na Dodoma.
Mgeni rasmi katika mahafari hayo Dr George Mulamula toka COSTECH akiteta jambo na kaimu Mkurugenzi wa UCC Dr Respikius Casmiry .
Mgeni rasmi akiwa pamoja na baadhi ya wafanyakazi za Ucc na sehemu ya wahitimu.
Sehemu ya wahitimu kwa ngazi ya Stashahada.
Kwa habari za kina na Picha zaidi tafadhali fuatilia hapa:
http://ucctznews.blogspot.com/p/blog-page_8.html
Kisha bonyeza " Ucc Graduation 2012 " Tab
Loading...
Post a Comment