Jana jumapili kuanzia saa sita mchana sehemu ya wafanyakazi wa UCC Tawi la mjini lilimtembelea mdau Gweso kumpa hongera kwa kupata baby boy Godlove
Kulea rahaaaaa, Gweso akimpa nyonyo(akimnyonyesha) baby Godlove kwa furaha - Kwa niaba ya Blog hii tunashukuru Mungu pamoja nanyi kwa zawadi hiyo mlojaliwa na mwenyezi Mungu, MUNGU AWATUNZE.
Kama ilivyo kawaida ya umoja tulionao wana City Branch , Mratibu wa kamati ya kijamii ya tawi Ndg: Ally Juma Ally aka NAPE ikitoa mkono wa hongera kwa familia , hayakuwa maneno matupu, hapa anakabidhi bahasha ya KAKI iliyotuna.
Gweso akifurahia jambo.
Meneja wa Tawi Ms Faith Shayo aka Mrs Erick Makoye, naye akimpakata Godlove, pembeni ni Baba Khanifa aka ABDUL.
Teddy na Luice
Toka kulia ni Baraka Thonya , Luice (kafichwa kiasi), Teddy na Abdul.
Baby Godlove, huyu atakuwa mpambanaji kweli kweli .
Msosi nao ulikuwepo wa kumwaga, wadau wakijisevia BUFEEE la nguvu
Hapa no comments

Post a Comment