Loading...
KWIKI Net Media Server.
Kuna kwiki inaendelea katika Net Media Server ( http://www.netmedia.co.tz ) kutokana na " Email Spamming " na kusabisha Server kuwa locked kwa muda, tunasikitika kwa kukosa huduma kwa kipindi hiki , wahandisi tukiendelea kulifanyia kazi , punde tu tutakuwa hewani tena.
Utawala
Net Media
30- October -2012
Post a Comment