Mabigwa wa Kombe la Kagame Dar Young Africans wameendeleza mwanzo mbaya wa Ligi Kuu Tanzania
bara baada ya kukubali kichapo cha mabao 3-0 toka kwa wakata miwa
Mtibwa Sugar katika mchezo uliofanyika mkoani morogoro.
Wakati huo wekundu wa Msimbazi wameendelea kutakata kwa ushindi wa pili mfululizo kwa kuichapa JKT Ruvu 2-0 Kwa mabao ya Amri Kiemba na Haruna Moshi Boban, pamoja na kucheza pungufu baada ya Emmanuel Okwi kupewa kadi nyekundu kipindi cha kwanza

Post a Comment