Bi. Alice Paul Lyimo (Mtoto wa Dr. Paul Lyimo wa Muhimbili - Dar) usiku huu anafurahia usiku wake wa kuagwa "sendoff" katika ukumbi wa Kiramoo, Dar Es Salaam.
Binti huyu anatarajia kufunga ndoa na mpenzi wake Godbless katika Kanisa kuu la Azania Front Dar Es salaam jumamosi ya tarehe 7/7/2012. Blog hii inakuletea tukio hili live. Karibu uburudike

Post a Comment