|
Baadhi ya maofisa wa UDSM kutoka kushoto ni Ms Agatha, Ms Noela na Ndugu Kitwana Ramadhani |
|
Dr Omary K. Mbura wa pili kutoka kulia akiwa na baadhi ya maofisa wa UDSM mbele ya banda lao. |
|
UCC nao hawako nyuma kutoka kushoto anayerekebisha tai ni Nongwa aka balozi wa amani , Mayala Mwendesha , Mwamsamali na Seleman Kitwana. |
|
Ndugu Nongwa(aliyevaa kofia ) akitoa maelezo ya huduma zitolewazo na UCC, pembeni ni Mr. Mokiwa . | |
|
Picha hii inaonyesha baadhi wa watu maarufu na viongozi wakubwa duniani waliosoma kwa nyakati tofauti UDSM. |
|
Maofisa toka UCC wakisubiri kutoa huduma kwa wateja wanotembelea banda la UDSM.
|
This post was written by: Author Name
Your description comes here!
Get Free Email Updates to your Inbox!
on Sunday, July 1, 2012
Post a Comment