Despec Tanzania Ltd inashiriki katika maonesho ya 36 ya Biashara ya Kimataifa katika viwanja vya Mwalimu Julius K. Nyerere maarufu kama viwanja vya sabasaba , Despec Tanzania ni wasambazi wa bidhaa za Tekenolojia ya habari na mawasiliano (ICT) .Katika maonesho haya wanapatikana ndani ya Banda la Export Processing Zone Authority (EPZA) , pia kwa maelezo zaidi wasiliana nao:
DESPEC TANZANIA LTD
Plot No 212 Magore / Maweni Street,
PO Box 25097, Upanga,
Dar-es-Salaam, Tanzania
Tel: +255 22 215 1349
Fax: +255 22 215 0879
PO Box 25097, Upanga,
Dar-es-Salaam, Tanzania
Tel: +255 22 215 1349
Fax: +255 22 215 0879
Mob:0717007797
Huyu ni meneja mauzo wa DESPEC TANZANIA LTD Ndugu Wilson Nassary. |
Hii ni baadhi ya orodha ya makampuni watenegenezaji wa bidhaa za ICT , bidhaa hizo na huduma za ushauri wa kitaalamu kwa ubora zaidi kuhusu vifaa hivyo hutolewa na DESPEC TANZANIA LTD. |
Post a Comment