Social Icons

Loading...

Sehemu ya wafanyakazi wakimsikiliza Mkurugenzi

Kumbe   ile  kasumba  ya  kuogopa  kukaa  mbele  si  kwa wanafunzi tu , hembu  cheki hii,   ni  Ndugu Bigeni tu aliyeko  mbele  huku vikiachwa viti  wazi , jamani tujifunze kukaa  mbele  ili picha  inoge!!!



Sehemu  ya  wafanyakazi  wakifuatilia  kikao  kwa  umakini  wa  hali  ya  juu.

Mkurugenzi  akiwa  na    wafanyakazi  wa  tawi.


Bilinzozi  akifuatilia  kikao  kwa  umakini  na   nyuma  kidogo  ni   Martha na Joyce.

Hapa   Dr  wa  Computers    na  N- Computing , Baba Khanifa    akiwa  kikazi  zaidi.  
Kwa    wenye  kumbukumbu  hembu linganisha   reception  hii  ya  City   Branch  na ile  ya  zamani  kabla 2010, duu  kuna  mabadiliko  makubwa  sana , hapa  anaonekana  Ms Rehema Shao akiwa katika  majukumu yake ya  kila  siku  tawini  ni kama  vile  anasema   MTEJA  KWANZA   na  mambo  mengine  baadaye.
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright Daniel Blog in Contemporary News
Back To Top