Jana tarehe 16 march 2014 katika ibada zote mbili katika kanisa la TAG Kinondoni Revival Church ( KRC ) mmliki wa blog hii Bloger Daniel na Mtarajiwa wake Bibi Penina waliweka mambo hadharani na kuwekewa mikono na makuhani katika kanisa hilo na kisha baadaye katika tafrija fupi ya kuwapongeza wachumba iliyofanyika Chichi Hotel kinondoni , asante sana wote kwa kutuombea na tunahitaji pia neema na mchango wako wa mawazo na mali kufanikisha jambo hili mwezi wa sita mwishoni mwaka huu
Mungu wetu akubariki sana .
Daniel.
Jopo la viongozi wa kanisa la TAG Kinondoni revival church likiongozwa na Mama Askofu Dr Rogather Z .Swai wakiomba maombi ya baraka na ulinzi wa Mungu kwa wachumba.
Tukitakiana kheri na mkono wa pongezi, Asante Yesu kwa neema hii.
Tabasamu la ukweli ,
Keki maalumu..
Daniel na Penina.
Jamaa , ndugu na marafiki katika hafla ya kuwapongeza watarajiwa.

1 comments:
OK
ReplyPost a Comment