Wana Silver Jubilee, Betty Mkwasa ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Bahi Mkoani Dodoma na mumewe Charles Boniface Mkwasa 'Master' Kocha msaidizi wa Yanga, wakionesha hati maalum ya ndoa kutoka kwa Papa Francis. Hati hiyo ya heshima hutolewa na Papa kwa wanandoa waliotimiza miaka 25 ya ndoa yao. Mkwasa na mkewe walitimiza miaka 25 ya ndoa yao Januari 14 mwaka huu na jana Januari 18 kuafanya misa maalum ya kubariki ndoa yao na kurejea viapo vyao vya ndoa.
Loading...
Home » Unlabelled » Mkuu wa Wilaya ya Bahi Mkoani Dodoma Betty Mkwasa na mumewe Charles Boniface Mkwasa 'Master' Kocha msaidizi wa Yanga watimiza miaka 25 ya Ndoa.
Mkuu wa Wilaya ya Bahi Mkoani Dodoma Betty Mkwasa na mumewe Charles Boniface Mkwasa 'Master' Kocha msaidizi wa Yanga watimiza miaka 25 ya Ndoa.

Post a Comment