Mwenyekiti wa Kamati ya Timu ya soka ya Taifa (Taifa Stars), Mohamed Dewji (wa tatu kulia) pamoja na wajumbe wengine wa kamati hiyo wakiwakabidhi Meneja wa timu hiyo, Taso Mukebesi (kushoto) na Nahodha wa Taifa Stars, Juma Kaseja (wa pili kushoto) sh. mil. 30 kwa ajili ya kuwapa hamasa wachezaji na viongozi wa timu hiyo kuelekea mechi dhidi ya SIMBA wa milima ya ATLAS Morroco.
Loading...
Stars wamwagiwa 30Mil.

Post a Comment