Papa mpya ni Cardinal Jorge Mario Bergoglio ( Pope Francis 1) aliyezaliwa miaka 76 iliyopita toka Argentina Amerika ya kusini ameteuliwa kuwa kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, atatumia jina Papa Francis wa 1.
Moshi ' mweupe ' kiashiria cha kupatikana kwa Pope, baada ya makadinali 16 kufanya kikao cha siri cha kumteua Pope kanisa kuu la St Peter's Squire huko Vatican City Rome Italia. Papa Francis 1 Jina halisi Cardinal Jorge Mario Bergoglio
Wasifu wake fuatilia hapa http://en.wikipedia.org/wiki/Jorge_Bergoglio
Post a Comment