Social Icons

Loading...

Mahafali ya pili ya UCC yafanyika ;- Viwanja vya Karimjee

Kitengo  cha  komputa  cha  Chuo  kikuu  cha  Dar  es  Salaam sehemu  ya  mlimani (UCC)   kimefanya   mahafali   ya  pili toka  kuanzishwa  kwake   kwa  ngazi  ya  astashahada, stashahada  na   Post graduate  in   IT  , sherehe  hizo  zimefanyika  katika  viwanja  vya Karimjee    jijini  Dar  es  Salaam.Katika   mahafali  hayo wahitimu  wametoka  katika vituo vya  Dar  es Salaam, Mwanza, Arusha,Mbeya  na  Dodoma.
 Mgeni  rasmi  katika   mahafari  hayo    Dr  George  Mulamula  toka   COSTECH    akiteta  jambo  na  kaimu Mkurugenzi  wa  UCC  Dr  Respikius  Casmiry .
 Mgeni  rasmi  akiwa  pamoja    na  baadhi  ya  wafanyakazi  za  Ucc  na    sehemu ya  wahitimu.
                             Sehemu  ya  wahitimu  kwa  ngazi  ya  Stashahada.

  Kwa  habari  za kina   na  Picha  zaidi tafadhali  fuatilia  hapa:  
 http://ucctznews.blogspot.com/p/blog-page_8.html
Kisha   bonyeza   " Ucc  Graduation  2012 "  Tab
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright Daniel Blog in Contemporary News
Back To Top