Habari zilizotufikia hivi punde kutoka eneo la Visiga mkoani Pwani zinatupasha kwamba basi la Abood limepata ajali kubwa iliyosababisha watu 32 kujeruhiwa; wengineo vibaya zaidi. Mpaka sasa hakuna taarifa ya kifo iliyoripotiwa na Blogger wako niko mbioni kukujuza zaidi ila kwa sasa endelea kuombea uhai wa hawa ndugu zetu. Ajali hii imesababishwa na mwendo kasi wa basi hilo. Madereva chonde chonde jamanai mwabeba miili na roho za watu sio mizigo tu jamani!
|
Mojawapo ya ajali mbaya zilizosababishwa na basi la Abood Oktoba 2011 |
This post was written by: Author Name
Your description comes here!
Get Free Email Updates to your Inbox!
on Thursday, September 6, 2012
Post a Comment