Timu ya taifa ya soka ya Tanzania -
Taifa Stars imesafiri kuelekea jijini Gbarone
Botswana kwa ajili ya kucheza mchezo wa kujipima nguvu na timu ya nchi
hiyo, Pichani kiungo mshambuliaji Mrisho Ngassa na kwa mbali ni Haruna Moshi Boban wakielekea kukwea pipa.
This post was written by: Author Name
Your description comes here!
Get Free Email Updates to your Inbox!
on Tuesday, August 14, 2012
Post a Comment