Kisiwa cha Saanane
kipo katika Ziwa Victoria , umbali wa nusu kilometa toka Mwanza mjini
ni hifadhi iliyoanzishwa 1964 kilipewa
jina hilo kwa kumbukumbu
ya Mzee Saanane
Chawandi ambaye alikuwa
mkaaji katika kisiwa
hicho na familia yake , mnamo mwaka 1962 alihamishiwa kwa
kupewa Tsh
600 na serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii na kuhamishiwa kisiwa cha Gabalema Mkoani Mwanza , Kisiwa hiki kina vivutio vingi vya kiutalii .
Kwa mawasiliano zaidi ukita kutembelea :
P .o. Box 11775
Mwanza
Mwanza
E mailsanane@tanzaniaparks.com
Simu ya mezani: 0282541819
Simu ya kiganjani: 0689062276
Muonekano wa Kisiwa cha Sanane
Wanyama wakipata malisho
Hapa Swala wakipata malisho, inasemekana swala life span yao ni miezi 12 tu , na pia mara tu azaliwapo mtoto swala baada ya dakika 3 anakuwa na uwezo wa kukimbia na kula majani
Specimen ya samaki aina ya SATO
Blogger akiwa ofisi za hifadhi ya Taifa tarajiwa ya Saanane .

Post a Comment