Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akimpa kitabu maalumu Katibu mkuu kiongozi Ndg: Ombeni Sefue kwa niaba ya Rais mstaafu wa awamu ya pili Mhe: Benjamini W Mkapa katika ufunguzi wa awamu ya tatu ya mradi wa TASAF , sherehe zilifanyika jana katika uwanja wa jamhuri mjini Dodoma.
Chanzo:http://dailynews.co.tz/index.php/local-news/8623-tasaf-efforts-impress-jk
Chanzo:http://dailynews.co.tz/index.php/local-news/8623-tasaf-efforts-impress-jk
Post a Comment