Jioni Ya tarehe 03 August 2012 kama Kawaida Friends of Friday ( FoF) event ilikuwa ikifanya Mambo yake Katika Viwanja Vya Makumbusho Kijitonyama ambapo jana ilikuwa ni FoF Nyama na Samaki Choma.
Mc Pilipili kama Kawaida Segment ya Comedy jana Ilikuwa ya Tofauti baada ya kuja Kinyama Choma Nyama Choma.
Clarito na Renee wakipata starter ya Mishikaki
Mikonozzzz nayo ilikuwa ni sehemu ya event hiyo , wadau 2 Bloggerz, Protace wakishow love.
Ma- Chef wa ukweli wakiwa kazini ..
Ze blogger akipata starter ya mishikaki
Raha ya Samaki choma, kula kwa pozi na hakikisha mnofu unakaa kinywani kama dakika hivi ... kisha tafuna na meza ,duuu tamuuuu....
Kwaito baada ya starter ya mishikaki ... na samaki choma
Wadau wakifuatilia event .
Kama Kawaida Jahazi La Event liliongozwa na Mc Luvanda na Mc Pilipili
mambo yalikwenda Sawa kabisa, Samaki Nyama ziliagizwa na Kuliwa mpaka Take Away
ilibebwa.
Dr. Mtarajiwa Chris Mauki alimwaga nondo nzito za namna ya Kuachana
ambapo talk hiyo iliteka nafsi za Watu sana kwa kuongelea changamoto
nyingi za maisha katika mahusiano.
Clarito na Renee wakipata starter ya Mishikaki
Mikonozzzz nayo ilikuwa ni sehemu ya event hiyo , wadau 2 Bloggerz, Protace wakishow love.
Ma- Chef wa ukweli wakiwa kazini ..
Ze blogger akipata starter ya mishikaki
Raha ya Samaki choma, kula kwa pozi na hakikisha mnofu unakaa kinywani kama dakika hivi ... kisha tafuna na meza ,duuu tamuuuu....
Kwaito baada ya starter ya mishikaki ... na samaki choma
Wadau wakifuatilia event .
Hapa samaki wakiandaliwa.
Post a Comment