Kituo cha utamaduni cha BUJORA kilianzishwa na mwaka 1968 na marehemu Fr David Clement Fumbuka, Kituo hiki kipo kilometa 20 kutoka Mwanza mjini.
Picha hii ni ya Mkurugenzi mtendaji wa makumbusho hayo ya mila za wasukuma Fr: Fabian Mhoja
Ofisa utawala wa kituo cha utamaduni cha Bujora Ndg: Madata Ndelule Charles
Nyumba ya asili ambayo humo ndani utakuta vifaa vya nyumbani kama vijiko , sahani , ambavyo vimetengenezwa kwa miti na udongo.
Sehemu ambayo kwa mujibu wa mila ilikuwa ni soko la kutafuta mwanamke wa kuoa, mabinti walikuwa wana saga nafaka juu ya mawe haya na aliye hodari kwa kusaga ndiye alikuwa anapata mchumba wa kumwoa- Duu Zamani si kama siku hizi.
Duu Blogger naye kama kawa kama dawa akicheza na snake ama kweli jasiri haachi asili
Ramani ionyeshayo Falme za kisukuma |
Post a Comment