Kuanzia mwaka mpya wa fedha (2012/13) Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeanza kusajili magari kwa kutumia majina ikiwa ni nyongeza ya kutumia namba kama ilivyokuwa imezoeleka na wengi. Pichani ni miongoni mwa magari ya kwanza kupewa usajili huo wa kutumia jina la mmiliki wake.
Blogger naye hayuko nyuma , mkoko wake ulishawekewa SPECIAL number, WAHI MDAU.....kabla bei haijapanda...
1 comments:
Blogger anatisha, sasa hiyo 10 maana yake ni nini? Kuna Daniel 10 wamesha sajili au ni mbwembwe tu, pia inawezekana kukawa na usajili wa majina mawili tofauti kama ilivyo DELINA 1 mbele na DANIEL 10 Nyuma? Wadau nisaidieni nata kusajili Vitz yangu!
ReplyPost a Comment