MS GLORY CHARLES LYIMO |
Mtarajiwa Glory akiwa katika pozi la tabasamu. |
Glory Charles Lyimo, mtoto wa kichagga toka Arisi, Marangu, Kilimanjaro
ndio hivyo tena mahari kishatolewa na sasa usiku mwanana wa kumuaga “Sendoff” aka "Glory Night" umewadia ni ijumaa hii tarehe 6/7/2012 pale ukumbi wa Meza LUNA, Arusha.
Arusi yake itafanyika kule kwa Baba Kibaki na Muzee Odinga Nairobi siku
ya jumapili 8/7/2012 ambapo yeye na mupenzi wake watauaga rasmi ukapera.
Blog hii iliyo kipenzi cha watu na hufika popote palipo na watu itakuletea
live matukio yote kuanzia sendoff na Arusi.
TUMWOMBEE GLORY NA MPENZI WAKE WAKAMILISHE SALAMA TENDO TAKATIFU LA
KUUAGA UKAPERA NA KUANZA MAISHA YA MKE NA MME.
3 comments
Enheeee Mdada umetokelezeaje aiseeeee big up mwana. Kila la heri, twakuombea
ReplyUmetishaaaaaaaaaaaaa...kumbe mambo yamewadia hureeee hongera hongera sana shostito...Mungu akubariki sana
Replykila la heri my lily sister,may God be with you,till the end of your seremonies,be blessed for that my lily sisy,we love you sooooooo much.
ReplyPost a Comment