Kimbunga Sandy ni kimbunga
ambacho Marekani haijawahi kukishuhudia kwa miaka tisa iliyopita ambapo
kwa mujibu wa Sky Sports ni watu 16 wamepoteza maisha mpaka sasa na
nyumba zaidi ya 50 zimewaka moto huku mamilioni ya wananchi wakikaa bila
umeme majumbani mwao.
Kutokana na hiki kimbunga pia
safari za ndege zaidi ya eflu zimeahirishwa ambapo kwa upande mwingine
nyumba laki sita na elfu sabini kwenye jiji la New York zimeachwa bila
umeme.
Post a Comment