Branch Manager wa Ucc City Branch Mrs Faith Shayo akikadhi sehemu ya msaada wa chakula na vifaa kwa Afisa mkuu Mfawidhi wa kituo cha Kurasini Home Children Center Ndg Ramadhani Yahya.Kituo hiki kiko chini ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ( URT) kimeanzishwa mnamo mwaka 1966 na kwa sasa kinatunza na kulea watoto wenye kuanzia umri wa miaka 3 mpaka 17 wapatao zaidi 60.
Afisa Mfawidhi wa KHCC Mr Ramadhani Yahya akipokea moja ya kifurushi kwa niaba ya watoto.
Lango kuu kituo cha serikali cha Kurasini Home Children Center maskani ya watoto ambao walio wengi ni yatima,waliotelekezwa au kukataliwa na wengine hata wazazi/walezi wao hawajahi kuwatia machoni , ukiingia ndani ya ukuta huu utajifunza mengi toka kwa viumbe hawa ambao ni Taifa la leo la Tanzania.
PICHA ZAIDI TEMBELEA http://ucctznews.blogspot.com

Post a Comment