Social Icons

Loading...

Business Dinner - Mayfair Hotel Yafana Sana.

Event ya  Business  Dinner ilifanyika  jana  katika  ukumbi  wa Hotel  ya  Mayfair , Mikocheni   jijini  Dar, iliandaliwa  mahususi  kuwakutanisha wajasiriamali   wa  kati  na  wakubwa  kwa  lengo  la  kubadirishana  mawazo  na  kujifunza mbinu  mpya  na  fursa  za Ujasiriamali   nchini  Tanzania  na  hatimaye  nje  ya  nchi.
Mr. Frank Isaack Chikome akifungua forum hii  ya  wajasiriamali katika ukumbi wa mikutano  uliopo  Mayfair  HOTEL  na  kisha  kuanza  na somo  la kwanza.
Mtaalamu wa mambo ya Biashara na fedha Ndg: Paschal Kasela akitoa  shule  ya namna  ya kuwa na uwezo kuajiri watu   kuanzia 500    katika  segment ya "Big Business".  kwa  mbali  kwenye  screen  ni  Model  ( E, B, S, I )  ya  R.Kiyosaki  mwandishi  na    mtunzi  mahiri  wa  vitabu vya  ujasiriamali   Duniani.
Ndugu Alphonce Chilato akitoa ushuhuda wa maisha yake kuanzia alipoanza kazi kama afisa bandarini  Dar kisha  akahamishiwa  Zanzibar,akiwa  visiwani aliamua kujikita  na bishara  zaidi  na imempa  mafanikio makubwa sana  siri ya mafanikio  yake ni Business  Model ya  Network  Marketing.
                                       Kasele  akigawa  DOZI  ya   BIG  BUSINESS
                                                  Blogger  naye  akifuatilia  kwa umakini .
                                                      Sehemu  ya  washiriki
                                      Hakika watu walikuwa makini, Blogger  Damas  kama  kawa  ndani  ya nyumba.
                               Kasele  akitoa  somo 



author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright Daniel Blog in Contemporary News
Back To Top