Social Icons

Loading...

Rais wa Madaktari Tanzania afikishwa kortini kwa kutokutii amri ya mahakama


 Rais wa Chama cha Madaktari Tanzania (MAT), Dk. Namala Mkopi, akizungumza jambo na Mwanasheria ambaye pia ni wakili wake, Kikondo Maulidi (kushoto), baada ya kuachiwa kwa dhamana, katika  katika Mahakama ya Hakimu Mkazi  Kisutu, jijini Dar es Salaam jana, alipofikishwa  kwa ajili ya kusomewa shitaka la kutokutii amri halali ya Mahakama Kuu, iliyomtaka kuwatangazia wanachama wa chama hicho kupitia vyombo vya habari, kusitisha mgomo wao.
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright Daniel Blog in Contemporary News
Back To Top