Waziri wa Ujenzi Dkt.John Pombe Magufuli akimpa maelezo Raid Dtk.Jakaya Mrisho Kikwete juu ya Ujenzi wa Daraja la Kigamboni wakati wa hafla ya uzinduzi wa ujenzi wa Daraja hilo ulofanyika Kurasini jijini Dar ea Salaam
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisisitiza jambo wakati akiongea na Waziri wa Ujenzi Dkt.John Pombe Magufuli wakati wa hafla ya uzinduzi wa Ujenzi wa Daraja la Kigamboni uliofanyika huko Kurasini jijini Dar es Salaam jana chana.Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Mecky Sadik
Meneja mradi wa daraja la Kigamboni Eng: Karim Mataka akimwonyesha Rais picha ya daraja linalojengwa kwa ushirikianao na Serikali ya Tanzania na mfuko wa hifadhi ya taifa wa NSSF
Post a Comment