Hivi ndivyo hali ilivyokuwa
katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam katika mtanange wa watani
wa jadi Simba na Yanga (Wabunge) wakati wa TAMASHA LA MATUMAINI ambapo
wabunge wapenzi wa timu ya Simba wameibuka kidedea kwa penalti 3-2.
Simba wamefunga penalti 3 wakati Yanga wakifunga 2.
 |
Nahodha
wa timu ya Wabunge wa Simba, Amosi Makalla (wa pili kushoto) akiwa
katika picha ya pamoja na nadhodha wa Yanga pamoja na waamuzi wa mchezo
huo. |
 |
Katibu
wa Itikadi na Uenezi (CCM), Nape Nnauye akisalimiana na mshambuliaji wa
timu ya Wabunge wa Simba, Joshua Nassari kabla ya pambano lao jana, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. |
This post was written by: Author Name
Your description comes here!
Get Free Email Updates to your Inbox!
on Sunday, July 8, 2012
1 comments:
inapendeza kuona mahasimu wa kisiasa wakitabasamu pamoja..
ReplyPost a Comment