Social Icons

Loading...

Why issues related to peace, religious harmony in our society remain tricky.

The issue of clear signs of religious disharmony which are unfolding daily is now being so much talked about that one would have been surprised not to hear it from the parliamentary corridors as well. Yes, the not so palatable theme got raised right from the first sitting of the ongoing budget session of the National Assembly and we are likely to hear more about from the same source during the next two months.

This time around a member of parliament for Tarime Constituency kept the ball rolling when he demanded to know the steps being taken by the government to avert religious conflicts haunting our society and is a threat to national peace.

The controversial minister in the President’s Office in-charge of the social relations docket, Hon. Stephen Wassira, responded with contradictory remarks by saying the problem of religious conflicts in our society is rather “trivial” and is being “exaggerated”, but the government is taking it seriously and has some measures in place aimed at nipping it in the bud. Expressions like “it is trivial” and is being “exaggerated” are, of course debatable, taking into account the fact that most governments, the world over, rarely admit there is social instability even where there is one, unless the situation has reached a critical stage where playing ostrich is no longer an option.

Of interest here is what the Minister revealed in regard to addressing the increasing religious tension which involve two major denominations, that is Christians and Moslems, who for a long time have been accommodating each other in a way which has always been exemplary to other countries in the continent - characterized by religious and ethnics strife.

According to Minister Wassira the government has a two-pronged approach, which involves holding separate meetings with Muslim leaders as well as those of Christian denominations and then bring the two parties on the table, with a hope that they will iron out their religious based differences. The second initiative is for the government to team up with religious clerics from different institutions and conduct peace promotion campaigns, with a focus on creating public awareness about the importance of religion in creating a harmonious society.

When the Minister was in Dodoma briefing our legislators on the government thinking about the religious problems haunting the nation, media stakeholders were also attending a special meeting in Dar es Salaam to brainstorm on the role of the media in promoting peace in society. President Jakaya Kikwete had earlier challenged media owners and practitioners to re-examine their role creating a peaceful atmosphere in the country when he was delivering his monthly address to the nation at the end of last month.

Discussion on ongoing signs of religious disharmony was indeed inevitable, as this is a major cloud on the horizon. A keen listener at this meeting must have noted that some of the media stakeholders have a deeper insight about the man-created problem, and even think the powers of the day are approaching the issue superficially.

Key questions raised by participants at the media stakeholders meeting include: why are religious differences actively raring their ugly heads today? Why should people bother about who has a right to slaughter animals for food when the activity did not begin yesterday? Aren’t there people who, for one reason or another, are stoking religious fire in our society? Can they be identified? Are measures being taken to cope with the problem adequate? The list of questions was long.

As the discussion proceeded, the view that there is a political dimension to the religious problems being witnessed came out prominently. The thinking here is that what we see is partly a manifestation of a nation devoid of a clear-cut ideology to give it a sense of direction. You have those who contend that it is against this background that some of today’s politicians are using money as well as exploiting all sorts of human differences to create small power bases.

For example, it is not accidental that ambitious politicians have now turned into big fundraisers for religious institutions, and are making extra effort to be close to religious clerics of different religious denominations.

While it is true that the new phenomenon of religious fundamentalism is also partly to blame for religious tension in many parts of the world, yet the role of politicians should also be a source of concern as we deal with this problem, which can’t be resolved through mere sweet-talking.
By Henry Muhanika is Media Consultant(hmuhanika@yahoo.com)

KIBONZO


Boda Boda hatari kwa kula vichwa.


Mambo matatu aliyohojiwa Lema Polisi

Kushikiliwa kwa Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema kumeendelea kuibua sokomoko baina ya polisi kwa upande mmoja na wafuasi wa Chadema na familia yake kwa upande mwingine.
Arusha. Lema aliyekamatwa usiku wa manane kuamkia Ijumaa wiki hii, alihojiwa kwa saa tatu mfululizo katika Kituo Kikuu cha Polisi, Arusha lakini alinyimwa dhamana kwa maelezo kwamba kuachiwa kwake kungehatarisha amani.
Akizungumza na gazeti hili kabla ya kujisalimisha kwa askari hao usiku huo wa kuamkia juzi, Lema alithibitisha kuwapo kwa polisi nje ya nyumba yake:
“Wapo nje ya nyumba yangu, wanatishia kupiga mabomu kama nisipotoka nje, lakini wanajadiliana na walinzi wangu na mimi nimewataka wanipe hati ya kunikamata,”alisema.
Wakili wa Lema, Humphrey Mtui alisema mahojiano ya mteja wake na polisi yalidumu kwa zaidi ya saa tatu kuanzia saa 7:50 mchana hadi saa 11:15 jioni, na kwamba walitaka ufafanuzi kwenye hoja tatu walizodai kwamba zilijengwa kwenye kauli alizotoa Lema wakati alipokuwa akizungumza na wanafunzi wa Taasisi ya Uhasibu Arusha (IAA).
Soma  zaidi  : http://www.mwananchi.co.tz/habari/Kitaifa/-/1597296/1760426/-/12b2syx/-/index.html

YANGA MABINGWA


Robert Lewandowski 4 Christiano Ronaldo 1

 Borussia  Dortumond  4     Real   Madrid  1

Mshambuliaji wa Dortmund Robert Lewandowski ndio mchezaji wa kwanza kufunga mabao manne dhidi ya Real Madrid katika historia ya ligi ya mabingwa wa ulaya.

* Ilikuwa ni mara ya 10 kwa mchezaji mmoja kufunga mabao zaidi ya manne katika mechi moja ya Champions League. Lionel Messi pekee ndio mchezaji aliyefunga mabao manne mara mbili katika mechi 2 za ligi ya mabingwa wa ulaya.

* Huu ndio msimu wa kwanza ambapo timu zimeruhusu nyavu zao kuguswa mara 4 katika mechi za hatua ya kutoana kwenye ligi ya mabingwa wa ulaya. Bayern 4-0 Barcelona, Dortmund 4-1 Real Madrid.

* Cristiano Ronaldo nae ameweka rekodi ya kuwa mchezaji wa 3 kufunga kwenye mechi sita mfululizo za ligi ya mabingwa ulaya, wengine waliofanya hivyo ni Chamakh na Burak Yilmaz.

* Ronaldo amekuwa mchezaji wa tano kuweka rekodi ya kufikisha mabao 50 ya Champions League. Akiwafuatia Raul 71, Lionel Messi 59, Ruud van Nistelrooy 56 and Thierry Henry 50.

* Timu pekee iliyowahi kugeuza matokeo baada ya kufungwa 4-1 katika mchezo wa kutoana wa Champions League ni Deportivo La Coruna ambao walifungwa 4-1 na AC Milan katika mechi ya kwanza jijini Milan lakini wakaenda kushinda 4-0 kwao Hispania.

* Katika historia michuano ya ulaya ya klabu kumekuwepo na fainali moja tu iliyowakutanisha timu kutoka Ujerumani. 1979-80 UEFA Cup, Frankfurt wakiwafunga Borussia Moenchengladbach.
Taarifa kwa  hisani  ya  blog  ya   Shaffih.

Bayern yaisambaratisha Barca 4 - 0 UCL.

Bayern 4   Barca   0



JK akutana na viongozi wa Dini.


Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na viongozi wa madhehebu mbalimbali ya dini ya Kikristo Ikulu jijini Dar es salaam   jana  . Kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Mahusiano) Mhe Steven Wassira.


DCI Manumba arejea, ashukuru Watanzania


Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Robert Manumba amerejea jana akitokea nchini Afrika Kusini alikokuwa akitibiwa kwa zaidi ya miezi miwili.

DCI Manumba alisafirishwa kwenda nchini Afrika Kusini Januari 26, mwaka huu kwa matibabu zaidi baada ya kulazwa katika Chumba cha Wagonjwa Mahututi (ICU) cha Hospitali ya Aga Khan tangu Januari 13, mwaka huu.

Man U watwaa Ubingwa EPL 2013/14

Man  U   3     Aston  Villa  0

 MANU imetwaa ubingwa mara ya 20, huku mchezaji wake, Robin van Persie anayevaa jezi namba 20 akifunga mabao yote matatu dhidi ya Aston Villa katika Uwanja wa Old Trafford.
Katika mchezo huo uliochezwa  Jumatatu usiku, Manchester United ilipata bao la kwanza dakika ya kwanza na sekunde 23, kupitia kwa Robin van Persie aliyepokea pasi maridadi kutoka kwa Ryan Giggs.
Mpira ulianzia kwa Wayne Rooney, aliyetoa pasi kwa Antonia Valencia ambaye akiwa katika wingi ya kulia alimpa pasi Rafael ambaye alitoa pasi ndefu kwa Giggs aliyempasia van Persie.Dakika ya 13, Van Persie alifunga bao la pili baada ya kupokea pasi ndefu kutoka kwa Rooney. Baada ya kupokea mpira huo, Van Persie aliunganisha moja kwa moja na kulifanya bao hilo kuwa miongoni mwa mabao bora msimu huu.
Dakika ya 33, Van Persie alifunga bao la tatu baada ya Shinji Kagawa kumtengenezea pasi Giggs aliyekimbia na mpira katika wingi ya kushoto na hakutaka kufunga mwenyewe, badala yake akampa pasi Van Persie aliyemaliza kazi.
Si tu kwamba, Van Persie alifunga 'hat trick' hiyo, lakini alifikisha mabao 24 katika Ligi Kuu England.Mholanzi huyo, ambaye huvaa jezi namba 20 ameifanya Manchester United kutwaa ubingwa wa 20. Huo ni ubingwa wa 13 kwa Alex Ferguson ambaye alianza kuifundisha timu hiyo tangu mwaka 1986.
 Msimamo  wa  EPL    fuatilia  hapa   http://www.premierleague.com/en-gb/matchday/matches.html

Dawa za kuongeza akili zaingia nchini.

Mtindo wa maisha, ulaji na msongo wa mawazo, vimewasababishia Watanzani wengi maradhi lukuki hata vifo.Hata hivyo, wataalamu wa afya kutoka Afrika Kusini wamekuja na dawa maalumu, zilizo na uwezo wa kurudisha kumbukumbu, kuongeza upeo darasani, kuondoa sumu mwilini na kumfanya mzee kuonekana kijana.
Dawa hizo zinazotumia vitamini zilizomo kwenye vyakula vya kila siku, zina uwezo wa kuongeza kiwango cha uelewa kwa mwanafunzi au mfanyakazi.
Kiwango hicho cha uelewa kitaalamu unatambulika kama ‘IQ’.
Mratibu wa dawa hizo hapa nchini, John Haule anasema kuwa dawa hizo zina uwezo wa kufanya kazi kwa haraka.
“Virutubisho hivi ni vizuri kwa wale wanaokwenda katika mitihani au wanataka kufanya kazi inayohitaji umakini wa hali ya juu,” anasema Haule na kuongeza: “Zimetengenezwa kwa vyakula tunavyotumia na siyo kemikali.”Haule ambaye ni mtaalamu wa tiba asili na mimea anasema kwamba mtindo wa maisha na vyakula vinavyoliwa na watu mara kwa mara kwa sasa huufanya mwili kuhifadhi sumu nyingi mwilini.
Anasema kuwa dawa hizo pia zina uwezo kuondoa sumu mwilini na kuufanya mwili wa binadamu kurejesha rangi yake halisi na kumeng’enya vizuri chakula anachokula.
Haule anayefanya kazi pamoja na Shirika la Nativa linalotengeneza dawa hizo la nchini Afrika Kusini, anaeleza kuwa tangu kuingiza dawa hizo nchini watu wengi wamejitokeza kuzihitaji.
Ofisa Uhusiano wa Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA), Gaudensia Simwanza anasema kuwa mamlaka hiyo inazitambua dawa hizo kama virutubisho vya chakula, zimesajiliwa na ni salama kwa binadamu.
“Tuna taarifa kuwa bidhaa za ‘Go Woman’ na ‘Go Man’ zimesajiliwa na ni salama,” anasema.
Dawa nyingine zinazotengenezwa na kampuni hiyo zimetajwa kuwa na uwezo wa kuunda mifupa kwa watu wazima na majeraha ya wagonjwa wa kisukari.
Chanzo: http://www.mwananchi.co.tz/habari/Kitaifa/-/1597296/1754170/-/12aj057/-/index.html

Man City Hoi kwa Spurs , Chelsea na Liverpool ngoma droo

Man City 1     Spurs  3

Liverpool 2    Chelsea  2


FILIKUNJOMBE AKIMSIKILIZA W/MKUU PINDA

Mbunge  wa  jimbo la Ludewa mkoani Njombe Bw Deo Filikunjombe (kushoto) akimsikiliza kwa makini waziri  mkuu Mizengo Pinda    viwanja  vya  bunge  jana.

Ujumbe : Tunda la Roho >>> Amani

Amani ya kutoka kwa Mungu haitokani na mazingira tunayopitia au mambo tunayokutana nayo. Amani ya Mungu huja kwetu na kudumu bila kujali tunapitia hali gani. Amani hii inatokana na kuwa na uhusiano mzuri na Mungu, kitambua kuwa siku zetu zipo mikononi mwa Mungu, na kufahamu kuwa Mungu ndiye mpaji wa vitu vyote. Amani hii ni matokeo ya moyo uliotulia mbele za ungu.
Haimaanishi kuwa hakuna matatizo, ila amani ya kristo inakuwepo pale unapoamini kuwa Mungu yupo katikati yako hata unapopita katika matatizo. Ni lazima uwe na imani timilifu kwa Mungu, na kumtegemea yeye pekee.
Isaya 26:3 Utamlimda yeye ambaye moyo wake umekutegemea Katika amani kamilifu kwa kuwa anakutumaini.
Pia unapolifuata neno la Mungu utapata amani ya kweli.
Zaburi 119:165
Wana amani nyingi waipendao sheria yako, Wala hawana la kuwakwaza.
Neno la Mungu linaondoa hofu na wasiwasi na kukupa amani ndani ya moyo wako. Roho mtakatifu hutufariji na kutupa amani katika magumu tunayoyapitia.
Unapokutana na jambo linalokukosesha amani, kwanza omba kwa Mungu akujalie amani yake ipitayo akili zote. Tambua ukuu wa Mungu, uwezo wake, upendo na uaminifu wake. Yeye anauwezo wa kukupa amani ya kweli siku zote na katika hali zote.

Hukumu ya Ponda na wenzake leo.

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini iliwaona wana kesi ya kujibu katika mashtaka yote matano yanayowakabili. Katika moja ya mashtaka hayo, Sheikh Ponda na wenzake anadaiwa kula njama na wizi wa mali yenye thamani ya Sh59.6 milioni.Awali, Hakimu Mkazi, Victoria Nongwa alitoa uamuzi kuwa kina Sheikh Ponda wana kesi ya kujibu baada ya kupitia ushahidi uliotolewa na mashahidi 17 wa upande wa mashtaka, ikaonekana shauri hilo limetokana na kipande cha ardhi.Kesi hiyo iliposikilizwa mara ya mwisho, Hakimu Nongwa alisema kuwa baada ya Baraza la Waislamu Tanzania (Bakwata) kubadilisha ardhi ya ekari nne iliyopo Chang’ombe Markazi na ekari 40 za Kampuni ya Agritanza Ltd zilizopo Kisarawe, kuna baadhi ya Waislamu hawakuridhika.
Mbali na mashtaka hayo, Ponda na mshitakiwa mwingine Sheikh Mukadam Abdallah Swalehe wanakabiliwa na shtaka la uchochezi wakidaiwa kuwa kati ya Oktoba 12 na 16, mwaka jana katika eneo la Chang’ombe Markazi, wakiwa viongozi wa Taasisi na Jumuiya za Kiislamu Tanzania, waliwashawishi wafuasi wao kutenda makosa hayo.
Chanzo   mwananchi.

Bi Kidude Afariki Dunia


Mwanamuziki mkongwe Fatuma  Binti  Baraka     maarufu kama Bi Kidude amefariki dunia jana  huko Zanzibar.Bi Kidude amefariki kutokana na maradhi ya kisukari na uvimbe kwenye kongosho.Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwake Raha leo mjini Zanzibar.

M23 Open letter To People and to the Parliament of Tanzania.

General Makenga sultani the Military leader of M23 and the Political Leader Bertrand Bisimwa and Benjamin Mbonimpa the administrator of Rutshuru District
Bunagana, April 11 st 2013
R̩f: 0012/Pr̩s. РM23/2013
To the Attention of the Parliament of the United Republic of Tanzania and the Tanzanian People
Honorable Speaker
Honorable Senators
Honorable Members of Parliament
RE: Request for the cancellation of the decision to deploy Tanzanian Armed
Forces to wage war in the Democratic Republic of Congo
The M23 has taken note of the UN Resolution 2098, of March 28 2013 that
transforms the UN Peacekeeping Mission to DRC into a belligerent force with the
mandate to carry out offensive operations against Congolese citizens. In doing so,
the UN will in effect come to the rescue of one of the most corrupt regimes in the
world and will contribute to extending the reign of an army that is infamous for
rampant rape and other atrocities that it wantonly and habitually inflicts on the
Congolese population.
It is ironical that contained in the same UN Resolution 2098, are the UN Secretary
General’s own words stating that corruption is the main cause of the failure of the
DRC Government.
It is particularly shocking to note that the UN resolution creating a force with a
mandate to wage war and to kill, comes at the time when negotiations are taking
place in the Ugandan capital of Kampala between the DRC Government and the
March 23 Movement, on the recommendation of the 11 countries of the Great Lakes
Region and under the mediation of his Excellency President Yoweri Museveni of
Uganda, Chairman of the International conference of the Great Lakes Region
“ICGLR”.
It is also worth noting that the DRC Government Minister of Foreign Affairs, Raymond
Tshibanda, said during an interview on April 2nd 2013 that “Countries (South Africa,
Tanzania, Malawi, and Mozambique) who have contributed militarily to the UN
intervention brigade have accepted that their soldiers might be killed on Congolese
land.
In taking a decision to engage in war in DRC, the same countries give a defacto
mandate to the oppressed forces of M23 to retaliate and inflict fatalities upon the
soldiers of the Intervention Brigade as the M23 defend themselves and the
population under their protection.
The M23 takes this opportunity to stress to the brotherly people of Tanzania that the
Movement bears no responsibility in the event of a massacre which appears to be on
the horizon at the instigation of those who, sitting in their air-conditioned skyscrapers
in New York and other Western cities, have nothing but contempt for the lives of
African soldiers ignoring everything with regard to our values and our Pan-African
beliefs.
The mistake should not be made of assuming that the M23 forces will stand by idle
as illegitimate business interests, political corruption and social injustice result in the
imposition of might over the logic of reason in the Eastern DRC and beyond.
Our valiant and determined combatants have consistently prevailed over much larger
and better equipped forces. The same will happen to the Intervention Brigade if your
wisdom does not prevail to intervene and stop this dangerous adventure in its tracks.
For this reason the M23 invites the Parliament and the people of Tanzania to
carefully re-consider this situation and prevail upon the Tanzanian Government, a
current member of the ICGLR, not to send the sons and daughters of this noble
nation to engage in an absurd war against their Congolese brothers.
The circumstances surrounding this absurd decision to send forces to wage war in
Eastern DRC, reminds us with regret about the absence of the late Professor Julius
Nyerere whose visionary leadership, wisdom and philosophy of “UJAMAA” stood in
total contrast with the amateurish trigger-happiness of some of the present day
leaders on our continent. “BINADAMU WOTE NI NDUGU ZANGU” said Mwalimu who, the M23 freedom
fighters, like many of our African brothers and sisters across the continent consider
as our father and role model.
We take this opportunity to express our respect for the people of the United Republic
of Tanzania as we wait to learn of your decision with regard to this matter
BERTRAND BISIMWA
Source  http://congodrcnews.com/2013/04/13/m23-open-letter-to-people-and-to-the-parliament-of-tanzania/

Kibonzo


Yanga FC NDIYO HABARI YA MJINI YAIVUA SIMBA UBINGWA


YANGA  3   JKT OLJORO 0
Simba tayari imeshavuliwa ubingwa, kwani hata kama itashinda mechi zake zote haitaweza kufikia pointi zilizovunwa na watani wao Yanga,  waliibuka na ushindi dhidi ya JKT Oljoro kwenye Uwanja wa Taifa  3   bila.

 SIMBA  2   AZAM   2
Wakati  huo  huo  leo  simba  na  Azam  zimegawana  point  kufuatia  kutoka  sare  2-2

ARON NA GORETTE WAMEREMETA

 Maharusi    Aroan Urio  na     Gorrete    Nakyangwe    wakiwa  na  nyuso  za  tabasamu  baada  ya  kufunga   ndoa   iliyofuatiwa  na    tafrija  katika  Ukumbi  wa  Kilimani   Hall.
  Mr  &  Mrs   Aroan  Urio  wakiwa  na  wapambe  , Dodoma   Hotel.

NAULI MPYA YAANZA LEO - Dr. Makyembe aunga mkono nauli mpya

Dk Mwakyembe alisema upandishwaji huo ulifuata vigezo vyote hivyo hakuna sababu za kulalamika. Alisema kiwango kilichopandishwa ni kidogo ukilinganisha na jinsi wamiliki wa vyombo husika walivyokuwa wameomba.Alizitaja hatua zilizopitiwa kuwa ni pamoja Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra), kuitisha mikutano ya wazi na wadau kwa ajili ya kupokea maoni yao.
Hata hivyo, aliwaonya wamiliki wa vyombo hivyo watakaokiuka na kupandisha nauli kwa kiwango cha juu akisema lazima ‘atakula nao sahani moja’.Alisema wawakilishi wote wa abiria waliambiwa kama ongezeko hilo dogo la Sh100 hawaridhiki nalo, sheria inawaruhusu kukata rufani katika Baraza la Ushindani na kwamba hakuna aliyefanya hivyo na kubaki kulalama nje ya taratibu.“Mimi kama Waziri wa Uchukuzi sina tatizo na ongezeko hili dogo la nauli za daladala. Tatizo langu ni tabia yetu ya Watanzania wengi kukacha vikao halali vinavyojadili mambo yanayotuhusu na kuja kulalamika baadaye,” alisema Dk Mwakyembe.
Alisema awali watoa huduma ya daladala waliomba kupandisha nauli kutoka Sh300 hadi Sh872 kwa abiria sawa na ongezeko la asilimia 149.

Barca na Bayern Zafaulu kuingia Nusu Fainali UEFA Champions League.

Barca  1      PSG  1



Juventus  0  Bayern 2


UHURU ahaidi NEEMA kwa Wakenya Wote.

Uhuru Kenyatta jana aliapishwa kuwa Rais wa Nne wa Jamhuri ya Kenya, huku akiahidi kutilia mkazo kudumisha amani na umoja.

Akihutubia halaiki ya Wakenya walihudhuria hafla hiyo kwenye Uwanja wa Michezo wa Moi, Kasarani wakiwamo wakuu wa nchi na wawakilishi wa Serikali mbalimbali za kigeni, Rais Uhuru alisema ataongoza kwa haki kwa kuwapa nafasi waliomchagua na ambao hawakumpigia kura.Rais Kenyatta aliapishwa jana baada ya kushinda Uchaguzi Mkuu wa Kenya uliofanyika Machi 4, mwaka huu kwa kura 6,173,433 ikiwa niasilimia 50.51 ya kura 12,338,667 zilizopigwa. Raila Odinga, ambaye alikata rufaa kupinga matokeo hayo na kushindwa, alifuatia kwa kupata kura 5,340,546 sawa na asilimia 43.70.
“Amani na umoja havitadumishwa hivihivi tu, bali vitakuja kwa wananchi wote kupatiwa fursa sawa za kiuchumi,” alisema Kenyatta, ambaye pia alitumia nafasi hiyo kuwashukuru viongozi waliotangulia wa taifa hilo akiwamo baba yake, Jomo Kenyatta, Daniel arap Moi na Mwai Kibaki, ambaye alikabidhi madaraka jana.Kenyatta (51), ameweka rekodi ya kuwa Rais mdogo zaidi wa Kenya, pia aliwashukuru wapinzani wake kwa kushiriki kuimarisha demokrasia.
Chanzo   http://www.mwananchi.co.tz/habari/Kitaifa/-/1597296/1744056/-/129wfet/-/index.html

Real MADRID ,Borussia DORTMOND ZATINGA NUSU FAINALI UEFA CHAMPIONS LEAGUE

  Gala 3   Madrid 2


Malaga 2   Borussia Dortmond 3

Waziri mkuu wa zamani wa Uingereza afariki Dunia.

Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza, Margaret Thatcher (87), amefariki dunia jana jijini London.
Thatcher, ambaye ni mwanamke pekee kushika nafasi hiyo Uingereza, alifariki dunia katika Hoteli ya Ritz alipokuwa akiugulia. Habari zilizopatikana jana zimeeleza kuwa Thatcher alifariki dunia kutokana na kuugua ghafla ugonjwa wa kiharusi jana asubuhi nyumbani kwake.
Waziri Mkuu wa Uingereza, David Cameroon alitangaza msiba huo akimtaja Thatcher kwamba alikuwa kiongozi shupavu, Waziri Mkuu shupavu na mwana Uingereza shupavu.

Watoto wa Thatcher, Mark na Carol walitangaza kuwa mama yao alifariki kutokana na kuugua maradhi hayo ghafla. Mwanamke huyo aliongoza chama chake cha Conservative katika chaguzi tatu na mara zote hizo kiliibuka na ushindi.
Alishika wadhifa wa Uwaziri Mkuu kwa miaka 11 kuanzia Mei 1979 hadi Novemba 1990.
Alikubalika kwa mawazo yake bora ya kujenga uchumi, ndani na nje ya Uingereza. Pia alisifika kwa msimamo wake hasa wa kusonga mbele na kutoyumbishwa na kauli za kukata tamaa. Hata hivyo, wapinzani wake waliziita sera zake kuwa ni za kikatili ambazo zilikuza wigo kati ya wenye nacho na wasionacho.

Akiwa mwanamke wa kwanza kuongoza chama kikubwa cha siasa Uingereza, alipenda kuwakosoa wanaharakati wengi akiwaambia kuwa vita ya haki za mwanamke, ilikwishamalizika na wanawake wameshinda.
Aliiongoza Uingereza katika vita dhidi ya Argentina kugombea Visiwa vya Falklands pia katika kipindi cha vita baridi kulipokuwa na msuguano kati ya mataifa ya Magharibi na yale ya Mashariki.
Akiwa Waziri Mkuu aliwahi kunusurika kuuawa kwa bomu jijini London.
Thatcher alizaliwa Oktoba 13, 1925 hukoa Grantham, Uingereza na alijitosa rasmi katika siasa mwaka 1948.
Chanzo  gazeti  la  mwananchi

JIPATIE KING'AMUZI CHA DIGITEK

 Ofisi   za  mauzo     ya    DECODER   za   DIGITEK    eneo  la   Makumbusho  Dar.
 Blogger  akikabidhiwa   King'amuzi  chake   cha  DIGITEK    na   Mr    Jamada.
 Vijana  wa  kazi   katika  ofisi  ya  mauzo  Mr  Fidelis    na  Mr  Jamada   wakienda  sawa  kuwahudumia  vizuri    wateja  wanaofika  katika  ofisi  hizo.
 Kwa  nje  hii  ni  sehemu  pia  ya  huduma  kwa  wateja   na mauzo.
 Mr  Jamada  na  Mr  Carlos     Maofisa  katika  ofisi  za  Mauzo  Digitek.

Man U HOI , yachapwa 2 -1

Man U 1     Man  City  2



KIBONZO.


CHADEMA kujenga Hospital Arusha Kumuenzi Wakili Nyaga.

KIWANJA cha ekari tano kilicho eneo la Burka jijini Arusha kilichotolewa na Nyaga Mawalla kwa lengo la ujenzi wa hospitali ya mama na mtoto, kitatumika kama ilivyokusudiwa. Hayo yalisemwa juzi na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kwenye maziko ya mwanasheria huyo jijini hapa.
Mbowe alisema na kusisitiza kuwa kati ya vitu ambavyo vitafanya chama hicho kimkumbuke marehemu, ni kutoa kiwanja hicho chenye thamani ya zaidi ya Sh milioni 500 bure, kitu ambacho ni adimu kwa baadhi ya watu nchini.

‘’Mimi nikiwa Mwenyekiti na chama, kwa ujumla tumeamua kumuenzi marehemu Mawalla kwa kujenga hospitali hiyo eneo hilo na itaitwa jina la Nyaga,’’ alisema Mbowe.

Akimzungumzia marehemu, Mbowe alisikitishwa kutomfahamu mapema wakati wa uhai wake kwani alikuwa
Wakili mwenye kipaji cha aina yake na alitaka maendeleo kwa kila mtu bila kuangalia itikadi. Mbowe alisema Nyaga hakuwa mwanasiasa, lakini alikuwa mwanachama wa CCM na “nilijitahidi kumshawishi kuhama chama chake hicho lakini aligoma katakata.
‘’Aliniambia kuwa mimi nina roho ngumu kuwa kiongozi wa upinzani nchini, kauli ambayo niliifikiria sana hadi leo hii,’’ alisema.Rais wa Chama cha Wanasheria Tanzania, Francis Stolla, alisema chama hicho kimeondokewa na mtu muhimu katika fani, kwani alikuwa msaada mkubwa kwa chama na wanasheria chipukizi Tanzania, kwa kuwapa
miongozo mizuri ya kazi za sheria.
Stolla alisema Nyaga alihakikisha wanasheria vijana wanasoma vyuo mbalimbali na wengine walisomeshwa naye kwa gharama yoyote ndani na nje ya nchi na alifanikisha chama hicho kupata ofisi ya uhakika.

Viongozi wafuate misingi ya Nyerere, MKAPA Aasa.

 Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa amesifia utawala wake kwa kuongoza taifa bila ya kubaguana na amesikitishwa na matukio ya udini, ambayo yanaashiria kuvuruga amani na utulivu wa Tanzania katika siku za karibuni.
Akitoa salamu zake baada ya kusimikwa kwa Askofu Mpya wa Jimbo Katoliki la Bukoba, Desdelius Rwoma, Mkapa alisema anachojivunia ni kuheshimiwa na waumini wa madhehebu yote.
“Katika kipindi cha uongozi wangu, viongozi wa madhehebu yote walikuwa wakinisisitizia kuwa sisi sote ni ndugu pamoja na tofauti zetu za kiimani. Wakati wa utawala wangu nilijitahidi kwa uwezo wangu wote kuwahudumia wananchi bila kuwepo kwa malalamiko ya kubaguana katika jamii,” alisema Mkapa, ambaye aliiongoza Tanzania kuanzia mwaka 1995-2005.
Mkapa alionya kuwa taifa limeacha misingi aliyoiacha Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, ambaye mara zote alisimamia umoja wa taifa.
“Wakati wa utawala wangu nilijitahidi kwa uwezo wangu wote kuwahudumia wananchi bila kuwepo kwa malalamiko ya kubaguana katika jamii,” alisema.
Chanzo  gazeti  la  mwananchi.

Mwananchi yazoa tuzo za umahiri

Waandishi wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL) inayochapa magazeti ya Mwananchi, The Citizen na Mwanaspoti wameibuka tena kidedea kwenye tuzo  za umahiri wa Uandishi wa Habari Tanzania (EJAT) kwa mwaka 2012, baada ya kushinda tuzo 13, ikiwamo ya mshindi wa jumla.
Sherehe za utoaji wa tuzo hizo ilifanyika jana katika Ukumbi wa Diamond Jubilee na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali akiwamo Makamu wa Kwanza wa Rais, Seif Sharif Hamad ambaye alimwakilisha Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein.
Mshindi wa jumla kwa mwaka 2012 ni Lucas Liganga wa gazeti la The Citizen, ambaye ameifanya MCL kunyakua tuzo hiyo kwa miaka miwili mfululizo ambapo mwaka 2011 tuzo hiyo ilichukuliwa na Neville Meena wa gazeti la Mwananchi.
Washindi walipewa zawadi za magodoro, televisheni, Ipad na vyeti, huku mshindi wa jumla akipewa dola 4,000 za kujiendeleza kimasomo.
MCL iliingiza fainali waandishi 14 kati ya 66 walioteuliwa kuwania tuzo hizo ambao ni pamoja na Samweli Mwamkinga, Florence Majani, Polycarp Machira, Tom Musoba, Elias Msuya, Leon Bahati, Lucas Liganga, Shija Felician, Fredy Azzah, Joseph Zablon, Zephania Ubwani, Tumaini Msowoya, Anthony Mayunga na Edward Qorro.
Mbali na kutoa mshindi wa jumla, waandishi sita wa magazeti hayo walikuwa ndio wagombea pekee wa tuzo mbili za habari bora ya Uchumi na Biashara na Majanga, huku Azzah akishinda tuzo ya habari bora ya Virusi vya Ukimwi (VVU) ambapo alikuwa peke yake na alichaguliwa mara mbili kuwania tuzo hiyo.
Waandishi wa MCL walioshinda na tuzo zao katika mabano ni Edward Qorro (Uchumi na Biashara), Lucas Liganga (Mazingira na Malaria), Fredy Azzah (Ukimwi na Elimu), Anthony Mayunga (Utawala Bora).
Wengine ni Florence Majani (Sayansi na Teknolojia na Afya ya Uzazi), Samwel Mwakibinga (Mchora katuni bora), Zephania Ubwani (Kilimo), Polycarp Machira (Majanga), Shija Felician (Tuzo ya wazi).
Katika tuzo ya jumla MCL iliingiza waandishi watatu kati ya waandishi wanane waliochaguliwa kuwania tuzo hizo ambao ni Lucas Liganga, Fredy Azzah na Florence Majani.
Katika utoaji wa tuzo hizo, MCL ilifuatiwa na Shirika la Utangazaji (TBC) ambalo lilizoa tuzo nane, Afya Redio (6) na Kilimanjaro Film Institute (5).
Chanzo: gazeti  la  mwananchi

KIBONZO


Two Tanzanian Women Score U.S. Award.

TWO Tanzanian women have received the Tanzania Woman of Courage Award from United States Embassy in Tanzania, in recognition of their outstanding efforts to improve lives of women and girls in the country.
            The Minister of State in the First Vice-President's Office in Zanzibar, Ms Fatma Abdulhabib Fereji, was honoured for her leadership role in defending the rights and interests of the underprivileged including women, children and the disabled. On the other hand, Ms Ndinini Kimesera Sikar, the Director of the Maasai Women's Development Organization (MWEDO), received recognition in her efforts to fight for the rights of Maasai girls and women, helping them attain enhanced access to health care and educational opportunities.
The Tanzania Woman of Courage Award is bestowed upon women leaders for their tireless efforts to promote equality, opportunity and justice for Tanzanian women and girls. Presenting the Awards yesterday, the US Ambassador, Mr Alfonso Lenhadt, said the awardees were honoured for their efforts to promote equality, opportunity, participation in public life and access to health care and education for Tanzanian women and girls.
                  "We honour two remarkable women whose lives have been devoted to a cause greater than themselves. Traditionally, we honour one Tanzanian Woman of Courage each year, but this year we felt Minister of State Fatma Abdulhabib Fereji and Ms Ndinini Kimesera Sikar had made such tremendous contributions to improving the lives of Tanzanian women and girls, that we decided to recognize both of these outstanding women," he explained.

NAULI ZAPANDA.

Mamlaka ya Udhibiti wa Majini na Nchi Kavu (Sumatra), imepandisha nauli za daladala, mabasi ya kwenda mikoani, usafiri wa reli na tozo za majini kuanzia Aprili 12, mwaka huu.Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Sumatra, Ahmad Kilima alisema jana kuwa nauli za daladala zimeongezeka kwa asilimia 24.46 kwa kuzingatia maoni ya wadau na gharama za uendeshaji.Kwa upande wa usafiri wa daladala nauli zimepanda kwa umbali tofauti kutoka Sh300 hadi 400, Sh350 hadi 450, Sh500 hadi 600, Sh650 – 750 na kwa wanafunzi kutoka Sh150 hadi 200 katika sehemu yoyote watakayokwenda.Nauli za usafiri wa mabasi makubwa ya masafa marefu nauli hizo zimeongezeka kwa viwango tofauti. Mathalan kwa basi la kawaida kutoka Dar es Salaam kwenda Mbeya ni Sh30,700, njia ya vumbi kutoka Kigoma hadi Sumbawanga Sh25,400 na basi la hadhi ya kati (Semi Luxury) kati ya Dar na Mwanza ni Sh61,400, wakati basi la hadhi ya juu (Luxury) kati ya Dar na Arusha ni Sh 36,000.Kilima alisema: “Kuanzia Aprili 12 mwaka huu, kati ya kilometa 0 hadi 10, nauli ya daladala itakuwa Sh400 badala ya Sh300 zinazolipwa hivi sasa.
“Pia nauli za mabasi ya kwenda mikoani zimeongezeka kwa asilimia 20.3 kwa mabasi ya kawaida, mabasi ya kati kwa asilimia 16.9 na mabasi ya daraja la juu kwa asilimia 13.2,” alisema.

Air Uganda Plans Flying to Arusha.

AIR Uganda has announced plans to fly to Arusha three times a week in move designed to expand its footprint in the region, after introducing luxurious Crane class earlier this year.
The airline, part of Aga Khan Fund for Economic Development (AFED) project, currently operates scheduled flights to all the East African capitals and Juba in South Sudan.
The Arusha flights, according to a statement released over the weekend, would begin May next year, to ease travel between the tourist city, the head of East African Community and Uganda. "Plans are underway to grow the network by introduction of flights to Arusha in May next year starting with a three weekly flights frequency," the airline said in the release.
Air Uganda early this year introduced Crane class that designed to give its client a stress free travel experience from the time the client purchase his ticket to arrival at his destination.
"With this offering the client enjoys a separate check in counter to reduce the time spent in queues, access to the Airport lounge where one gets to relax and have a meal while awaits his/her flight," the release said.
On board a crane class passenger gets an extra seat for his own personal space and also an extra baggage allowance. "This class is designed to offer comfort and ease when travelling and therefore offering a dignified experience for our clients," the airline said.
Crane class is only offered on our CRJ - 200 aircraft which serves all Air Uganda routes save for Juba. Air Uganda operates two types of Aircraft the CRJ 200 and the MD 87, offering three class cabin configurations, business class, Crane class and Economy class.
Source: http://allafrica.com/stories/201304020011.html

PASAKA NA SIMULIZI ZAKE.

Ijumaa Kuu
Ijumaa Kuu ni siku ambayo wakristo wanaadhimisha kufa, kuzikwa kwa Yesu, tukio lililotokea katika mji wa Yerusalemu siku ya Ijumaa.Kulingana na Mtume Yohane, kesho yake, yaani baada ya Ijumaa, ilikuwa Sabato na ikafuatia na Pasaka yenyewe siku ya Jumapili. Ijumaa Kuu ni sehemu ya Juma Kuu linaloanza kwa adhimisho la Yesu kuingia mji huo wa Yerusalemu akishangiliwa kama mfalme wa Wayahudi. Ijumaa Kuu pia ni sehemu ya siku tatu kuu za Pasaka zinazoadhimisha mateso na kifo chake, kuzikwa kaburini, na hatimaye kufufuka.
Simulizi za malaika
Siku moja malaika alimtokea binadamu na kumuuliza “Ni kitu gani unataka nikufanyie?”. Wakati binadamu anafikiria jibu, malaika akampa tahadhari, akamwambia “ Lakini chochote utakachoomba nikufanyie, jirani yako atapata mara mbili”. Ulikuwa ni mtihani mkubwa sana kwa binadamu.
Kwa maisha ya kawaida huwezi kuelewa malaika alikuwa anampima nini binadamu. Na binadamu hakujua kuwa malaika alitumwa na Mungu na Mungu alikuwa anajua nafsi ya binadamu, na hicho kilikuwa kielelezo cha binadamu wengi hasa kwa maisha ya sasa hivi.
Binadamu alitafakari sana, alifikiri, nikiomba nyumba, jirani yangu atapata mbili, nikiomba gari atapata mbili, nikiomba fedha atapata mara mbili. Mwisho akapata jibu, tena bila wasiwasi akamwambia malaika, nitoboe jicho moja. Alifahamu kuwa akitobolewa jicho moja, jirani atatobolewa macho yote mawili.
Maisha yetu ndivyo yalivyo. Tutasoma neno la Mungu, tutahudhuria kanisani, tutashiriki katika semina za neno la Mungu yote yatapita, upendo kama nguzo ya imani inapotea na itaendelea kupotea daima kama hatutabadilika.
Umuhimu wa Pasaka
Pasaka ni moja ya sikukuu kubwa sana kwa Wakristo. Pamoja na kuwa imeendelea kuchukuliwa kama tukio la kihistoria tu, bado dhana yake ya kuonyesha upendo wa Mungu kwa wanadamu haitapotea. Ni upendo wa kutoa moja ya nafsi za Mungu, iteswe, isulubiwe, ife na kisha ifufuke kudhihirisha utukufu wa Mungu na upendo wake kwa wanadamu.
Lakini kwa sisi wanadamu wa leo Pasaka ni nini?
Kuna umuhimu gani wa kuendelea kukumbuka Sikukuu ya Pasaka? Ni mafundisho gani tunayoyapata juu ya siku hii? Pasaka ni sikukuu ya kufufuka kwa Yesu Kristo na ni sikukuu muhimu kwa Wakristo, watu huenda kanisani na kusherekea sikukuu hii ya kidini.
Simulizi zaidi
Hadithi au habari za Pasaka zinatoka katika kitabu kitukufu, Biblia. Injili inasema kuwa mwili wa Yesu Kristo ulitoweka kutoka katika kaburi lake katika siku ya tatu baada ya kusulubiwa kwake msalabani.Malaika waliwatokea wafuasi wake na kuwaeleza kuwa Yesu amefufuka.
Wakristo pote ulimwenguni husherekea Pasaka kwa furaha kubwa sana kwa sababu wanaiona ndio siku ambayo mwokozi wao huwa amefufuka. Watu wengi huvalia nguo mpya kwenda kanisani siku ya Pasaka.
Kuna alama nyingi zinazotambulisha siku ya Pasaka, moja ni msalaba ambao Wakristo, huuona kama alama ya ushindi wa Kristo dhidi ya kifo. Msalaba mara nyingi hutokea kama alama ya Pasaka. Watu katika sehemu nyingi ya ulimwengu huoka keki maalumu ziitwazo ‘mikate ya moto ya msalaba’.

Wakili Nyaga Kuzikwa Nairobi.

Familia ya Wakili Nyaga Mawalla imeridhia ndugu yao azikwe jijini Nairobi, Kenya na kumaliza mvutano wa suala la mazishi ya wakili huyo.Mawalla alifariki dunia jijini Nairobi baada ya kuanguka kutoka kwenye ghorofa katika hospitali alikokuwa akitibiwa Machi 23, mwaka huu.

Hata hivyo, kulizuka mvutano wa mazishi yake baada ya Wakili Fatuma Karume kupeleka wasia wa marehamu uliokuwa umeelekeza kuwa ikitokea amefia nje ya nchi azikwe huko au akifia ndani ya nchini basi azikwe kwenye shamba la Momella, Arusha wakati wazazi wake walitaka azikwe kwao Marangu mkoani Kilimanjaro.Akizungumza na mwandishi wa habari hizi Dar es Salaam jana msemaji wa familia hiyo, Joseph Nuwamanya alisema wameamua kuheshimu wasia wa marehemu.
“Familia na ndugu wote wa mpendwa wetu Mawalla wameamua marehemu azikwe Jumatano jijini Nairobi kwani kabla ya kifo chake yeye mwenyewe alitaka azikwe sehemu atakayofia ikitokea amefia nje ya nchi,”alisema Nuwamanya. Alisema licha ya ndugu yao kuzikwa huko taarifa zaidi kuhusiana na sehemu, muda wa mazishi zitatolewa pindi utaratibu utakapokamilika.
Chanzo  : http://www.mwananchi.co.tz/habari/Kitaifa/-/1597296/1736640/-/129cetj/-/index.html

Kibonzo


STATEMENT BY THE RT. HON RAILA A. ODING STATEMENT BY THE RT. HON RAILA A. ODINGA ON THE JUDGEMENT OF THE SUPREME COURT .




Fellow Kenyans,
Members of the media,
Ladies and gentlemen,
Good afternoon,

You will recall that on 9th March 2013, I issued a statement on the conduct of the elections which hadjust been concluded.I expressed my deep gratitude to all Kenyans who had turned out massively to exercise their democratic rights to vote and elect their leaders.I however expressed my dismay that contrary to the expectations of Kenyans, we witnessed the failure of virtually every instrument the IEBC had deployed to ensure free, fair and transparent elections.

I outlined such failures, with concrete examples of the anomalies that all of us witnessed. It was clear that the constitutionally sanctioned process of electing new leaders had been thwarted again by another tainted election.

Democracy was on trial in Kenya.But that has not dented my commitment to constitutionalism and the rule of law.Enforcing the spirit and letter of the constitution remains the only sure way to peace and prosperity for our young democracy.

My decision to file a petition in the Supreme Court to challenge the validity of the election was a testament of my faith in the independence of our judiciary.We did so for the sake of our democracy and for the sake of allKenyans who wanted to exercise their constitutional right to elect their leaders through free and fair election.

For  more    visit
  http://jiachieforums.com/index.php/topic,6239.0.html

INTRODUCTION CEREMONY ; Gorette Introduces Aaron

                     It   was  great  JOY  ,   Aaron  Urio  and  Gorette  Nakyangwe
     Let  God  LOVE   covers  you  FOREVER &  Ever , Hongereni  Sana   Bi  na Bwana  SEBHOO  Aaron .
Please  for  More  Pics    visit   this   special  link   for  Aaron &  Gorette Web Portal >>>
  http://aronnagorrete.blogspot.com/

© Copyright Daniel Blog in Contemporary News
Back To Top