Social Icons

Loading...

Serikali yakwama kwa Jerry Muro, warudi kujipanga.

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imeiruhusu Jamhuri kufanya marekebisho katika hati ya sababu za rufaa ya kupinga hukumu iliyomuweka huru aliyekuwa Mtangazaji wa Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC1), Jerry Muro na wenzake wawili, waliokuwa wakikabiliwa na kesi ya rushwa.
Mahakama hiyo ilitoa uamuzi huo jana baada ya mrufani (Jamhuri) aliyekuwa akiwakilishwa na jopo la mawakili watatu wa Serikali kuomba kufanya marekebisho katika rufaa hiyo, wakati rufaa hiyo ilipotajwa.

Baada ya kuridhia maombi hayo, Jaji Dk Fauz Twaib anayesikiliza rufaa hiyo alimpa mrufani huyo siku moja kuwasilishwa mahakamani hati ya sababu za rufaa iliyofanyiwa marebisho. Hivyo aliamuru rufaa hiyo iliyofanyiwa marekebisho iwasilishwe mahakamani hapo leo. Jaji Dk Twaib alipanga kusikiliza rufaa hiyo Februari 12 mwaka 2013, ambapo mahakama itasikiliza hoja za pande zote, kabla ya mahakama kutoa hukumu yake.

Katika usikilizwaji huo mrufani atatoa hoja zake za kupinga hukumu hiyo ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, iliyowaweka huru Muro na wenzake, na upande wa wajibu rufaa kujibu hoja hizo. Muro na wenzake, Edmund Kapama maarufu kama ‘Dokta’ na Deogratius Mugassa, walikuwa wakikabiliwa na mashtaka ya kula njama na kuomba rushwa ya Sh10 milioni, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
  Chanzo : http://www.mwananchi.co.tz/habari/Kitaifa/-/1597296/1632478/-/11p6uc3/-/index.html

SIMANZI NA MASIKITIKO...ULALE KWA AMANI .


Msanii maarufu katika tasnia ya Maigizo na Uchekeshaji marehemu Hussein Ramadhani Mtioeti (27) almaarufu SHAROMILIONEA aliyefariki kwa ajali ya gari jijini kijijini maguzo, Muheza,Tanga amezikwa leo mchan kijijini kwao. Maziko ya msanii huyu chipukizi aliyeanza kujijengea jina katika tasnia ya sanaa nchini yalijaa mamia kama sio maelfu ya watu wa kada mbalimbali na wasanii lukuki.

Mama yake SharoMillionaire (mwenye blauzi nyeusi) akilia kwa uchungu kwani Sharomillionaire ndiye alikuwa mtoto pekee wa kiume katika familia ya Mzee Mtoity.
Bestisto wa marehemu Sharomilionea Mzee Majuto akiwa pamoja na wasanii wengine wakijongea makaburini



Waombolezaji wakiubeba mwili wa marehemu Sharomillionaire kuupeleka katika nyumba yake ya milele

Mwili wa msanii chipukizi Sharomilionea ukiwa ndani ya Jeneza
Waombolezaji wakiuweka mwili wa marehemu Hussein Mteity "Sharomilionea" katika  kaburi

                              
                           Mwili wa Sharomilionea ukiswaliwa kabla ya kuwekwa mavumbini katika nyumba yake ya milele

Hussein Mteity "Sharomilionaire" umetutoka ungali mdogo sana tena wakati ambao nyota yako imeanza kung'aa.

Umewaachia simanzi na majonzi makubwa wapenzi wako wa tasnia ya maigizo hasa vichekesho. Naamini hata Airtel  matajiri wako wamepata pigo kubwa sana. Twaamini haki zako zitatunzwa nafamilia yako itanufaika.
SHAROMILLIONAIRE TUTAKUKUMBUKA !





                          







Mabilionea watano wa Tanzania - Hawa Hapa.

Said Bakhressa
WAFANYABIASHARA watano, Said Bakhressa Gulam Dewji, Rostam Aziz, Reginald Mengi na Ali Mufuruki, wametajwa na Jarida la Ventures Africa linalozungumzia masuala mbalimbali ya uchumi wa Afrika kuwa ndiyo matajiri zaidi nchini.

Anayeongoza katika orodha hiyo ni Bakhressa anayemiliki mali na fedha zenye thamani ya Dola za Marekani 620 milioni sawa na Sh992 bilioni (Dola moja Sh1,600) akifuatiwa na Dewji ambaye utajiri wake ni Dola 560 milioni (Sh896 bilioni). Wengine na kiasi cha mali na fedha wanazomiliki kwenye mabano ni Rostam (Sh672 bilioni- Dola 420 milioni) Mengi (Sh448bilioni- Dola 280 milioni) na Mufuruki (Sh176 bilioni - Dola 110 milioni).Matajiri hao wamepatikana baada ya kuangalia nafasi zao kifedha, ufanisi wa kampuni zao katika soko la hisa, mfumo wa wanahisa katika soko la hisa na mtiririko mzima wa fedha katika akaunti zao kwenye benki mbalimbali.
Jarida hilo linalotoka mara moja kwa mwezi kutoka Afrika Magharibi, limesema matajiri hao wa Tanzania ni kati ya Waafrika wenye utajiri ambao ni mabilionea 4,800 kutoka mataifa 17.
Asilimia kubwa ya watu 1,523 ni mamilionea na wamo katika ripoti ya watu matajiri Afrika.
Jarida hilo linataja jinsi matajiri hao walivyokuwa wajasiriamali wadogo kabla ya kuibuka na kuwa mabilionea.
Said Salim Bakhresa
Jarida hilo limesema chanzo cha utajiri wa Bakhressa ni mapato yanayotokanana uzalishaji wa bidhaa mbalimbali kwenye viwanda vyake.Mfanyabiashara huyo aliacha shule akiwa na umri wa miaka 14 na kuanzisha biashara zake. Alianza kuuza urojo Zanzibar na baadaye alifungua mgahawa miaka ya 1970.
Mgahawa huo ulipanuka na alitumia faida yake kufungua mashine ya kusaga pamoja kiwanda za usindikaji vyakula, huku akiunda Kundi la Makampuni ya Bakhressa.
Aliendelea kusindika vyakula mbalimbali na kutengeneza unga wa mahindi na baadaye kuanzisha kiwanda cha kuoka mikate na baadaye kutengeneza chocolate, ice cream, vinywaji na makasha ya kufungashia bidhaa. Kutokana na shughuli hizo, kwa mwaka huingiza Sh800 milioni.
Kampuni zake kwa sasa zinafanya biashara mbalimbail katika nchi za Tanzania, Uganda, Malawi, Rwanda na Msumbiji na ameajiri zaidi ya wafanyakazi 2,000.
 
Gulam Dewji
Mfanyabiashara huyo ana utajiri unaokadiriwa kufikia Dola 560 milioni kutokana na kuzalisha bidhaa na kutoa huduma mbalimbali.
Ni mmoja wa mataikuni wa Tanzania tangu miaka ya 1970 na kazi yake kubwa ilikuwa kuingiza bidhaa mbalimbali kutoka nje.
Alianza na kampuni ndogo aliyoiita Mohammed Enterprises Tanzania, ambayo kwa sasa ni kati ya kampuni kubwa Afrika Mashariki na Kati.
Miongoni mwa mali zake ni Kiwanda cha 21st Century Textiles, moja ya viwanda vikubwa vya nguo Kusini mwa Jangwa la Sahara. Kampuni yake ina viwanda vinne, Tanzania na Msumbiji huku ikizalisha Dola 100 milioni kwa mwaka. Pia kampuni hiyo husindika juisi kwa matunda ya Tanzania, mafuta ya kula, sabuni na tishu.

Kampuni hiyo pia inamiliki kampuni ya bima, makontena, kampuni za kuuza mafuta ya petroli na maduka ya kuuza bidhaa mbalimbali zaidi ya 100 Tanzania nzima.
Hata hivyo, Gulam alisema jana kwamba takwimu zilizotolewa zimekosewa. Alisema kwa sasa yuko nje ya Dar es Salaam na atatoa taarifa sahihi atakaporejea.
“Kuna baadhi ya tarakimu zimekosewa niko Morogoro kuangalia biashara zangu nikirudi Dar es Salaam nitazungumza,” alisema Dewji.

Rostam Aziz
Ameelezwa kuwa utajiri wake umetokana na kuendesha shughuli zake mbalimbali ikiwamo kampuni za mawasiliano ya simu, madini na biashara za usafiri wa meli.
Mwanasiasa huyo mwenye asili ya Asia, alichaguliwa kwa mara ya kwanza kuwa Mbunge wa Igunga mwaka 1993 na alishinda kwa vipindi viwili.

Aliachana na ulingo wa siasa mwaka 2011. Anamiliki asilimia 19 ya Hisa za Kampuni ya Vodacom ambayo ina wateja zaidi ya milioni nane.Imeelezwa pia kuwa anamiliki Kampuni ya Ujenzi ya Caspian na sehemu ya Bandari ya Dar es Salaam kwa kushirikiana na Kampuni ya Hutchison Whampoa ya Hong Kong.
Akizungumzia utafiti huo, alisema: “Umefanyika kwa umakini isipokuwa tu kwa upande wangu wanasemas ninamiliki asilimia 19 ya Kampuni ya Vodacom kitu ambacho si sawa kwani ninamiliki asilimia 35.”

Reginald Mengi
Mengi anakimiliki kampuni mbalimbali ikiwemo vyombo vya habari, viwanda vinavyozalisha vinywaji baridi vya Coca-Cola na ana mgodi wa dhahabu.Mfanyabiashara huyo baada ya kufanya kazi ya uhasibu ambayo ndiyo taaluma yake, alifanya biashara ya kutengeneza kalamu za wino zilizopata soko kubwa Afrika Mashariki.
Leo hii, IPP Group ambayo Mengi ni mwenyekiti wake, inamiliki magazeti mbalimbali ikiwemo Financial Times, ThisDay na The Guardian, televisheni mbili kubwa Afrika Mashariki na Kati EATV na ITV na vituo vya redio. Anamiliki Kampuni za IPP Gold na Handeni Gold.

Ali Mufuruki
Utajiri wake unatokana na biashara mbalimbali za rejareja na za ushirika.
Ni mwanzilishi na Mwenyekiti Mtendaji wa Tanzania Infotech Investment Group.
Kampuni hiyo inajumuisha Watanzania na Waganda kwa ajili ya kuuza bidhaa za Afrika Kusini za Woolworth.

Kibonzo...


TZ; ICT policy review coming.

A review of the Information and Communication Technology (ICT) Policy is in the pipeline to help address cybercrime, deputy minister for Communication, Science and Technology January Makamba has said.The ICT policy of 2003 is outdated and doesn’t augur well for the current technological advancement, according to Mr Makamba.Winding up a two-day training workshop aimed at curbing cybercrime as well as launching a website that addresses cybercrime at www.esucurity.co.tz in the city at the weekend, Mr Makamba said there was a need for protecting online transactions.

“We have rushed on online transactions without putting in place a workable mechanism to keep hackers at bay,” he said.According to Mr Makamba, since ICT business is growing considerably, it is important to contain hackers.On policy reviewing, Mr Makamba said such a move would help the government move abreast with the fast changing trends in ICT.

“We are reviewing the policy to help our officials acquaint with ICT and you need to know that at the moment many of our websites are never updated,” he said.For his part, the director of Twiga Hostings Limited, Mr Jacob Urassa, the host of the two-day training programme, said they were determined to make Tanzania a hub of online security that would allow players to enjoy surfing without fear.

“Nowadays we come across a number of cases related to hacking, but with such training we want to see foreigners coming to the country to purchase such software,” he noted.According to Mr Urassa, 80 per cent of internet users in the world are prone to hackers.The two-day training workshop brought together webmasters and online editors from a number of government and private institutions.

Ole Naiko challenges CEOs to help build a strong middle class.

The CEO Roundtable of Tanzania, a policy dialogue forum has been urged to help the government in its efforts to develop a strong middle class for the country. The appeal was made by seasoned investment promoter and expert, Emmanuel ole Naiko at a dinner gala organised by the CEO Roundtable to present him with a Lifetime Achievement for Outstanding Public Service Award in Dar es Salaam at the weekend. He becomes the first recipient of the award.

“Please do whatever it takes to help the government in its efforts to grow a strong middle class in Tanzania,” he told members of the CEO Roundtable at the event. The award winner requested the Roundtable chairmanAli Mufuruki, to use the experience he has in business to help the country to build a middle class economy.

Naiko said that building a viable middle class in Tanzania is a government’s wish and that it should be honoured and implemented for the good of the country.
Recalling his days at the Tanzania Investment Centre (TIC) where he worked as the agency’s Executive Director, he said, when President Jakaya Kikwete came to power he tasked the agency to spearherd the building of a strong middle class.

“Our primary focus then was to bring the disadvantaged Tanzania into the mainstream of the economy as a middle class stratum because nationally and internationally we have inherited and created institutions and systems that exclude too many of our people from global and national prosperity,” he said.

Explaining further, he said, the strategy would make Tanzanians play a more inclusive role in national and global business. “We took that challenge seriously by creating a group of 80 young entrepreneurs…unfortunately this initiative was quickly highjacked by someone in one of the ministries… and we completely lost that drive,” he said.

He said it is not right to blame past leaders in the mining and petroleum sectors by accusing them that they exposed the country to bad agreements with the investors. Naiko said such people are oblivious of the fact that before 1998, Tanzania did not have a single private gold mine in production.

“It is only after that period that Tanzania became one of the leading gold producers in Africa, and now mining between 30 and 50 metric tonnes per year,” he noted. On the petroleum sector, he said, many exploration firms have invested in this sub sector to the extent that they will very soon make Tanzania a leading gas producer. “Some of the so called ‘dubious contracts’ were signed by people with highest integrity in our country and such people will never sign such ‘bogus contracts’,” he said.

Kilimanjaro Stars 2 Sudan 0

Kilimanjaro Stars   wakishangilia goli la mojawapo lililofungwa na John
Bocco wakati wa mchezo dhidi ya Sudan katika michuano ya CECAFA
Challenge katika Uwanja wa Mandela Jijini Kampala, magoli  yote  yalifungwa  na  BOKO ,  hivyo  kuanza  kampeni  vyema  ya  kulitwaa  kombe  hilo  , Mungu ibariki  Kilimanajaro  Stars, Mungu  ibariki   Tanzania .

Ni Mwiko Kukata TAMAA.


Kagame absent as leaders warn M23 .

President Jakaya Kikwete and other regional leaders called on the Democratic Republic of Congo (DRC) rebel group M23 yesterday to end hostilities and leave a key eastern town they seized in a rampant advance that has sparked fears of a wider conflict.The meeting of east African heads of state went forward without a key player – Rwandan President Paul Kagame, whose country the United Nations accuses of backing the rebels – and wrapped up after less than an hour.
DRC leader Joseph Kabila also attended the summit that brought together presidents Kikwete, Yoweri Museveni of Uganda and Mwai Kibaki of Kenya.
In their closing statement, the leaders called on the rebels to “stop all war activities” and “stop talk of overthrowing an elected government”.

Mr Kagame, whose country denies backing the M23, had been expected to attend the meeting in the Ugandan capital.No reason was given for the absence of the Rwandan leader.  Mr Kagame had been expected to attend the summit, but a Ugandan foreign ministry official said shortly before the meeting started that he was not coming and would instead be represented by the Rwandan Foreign minister, Ms Louise Mushikiwabo.
Mr Kagame was due to hold talks with his counterpart from the Congo Republic, Mr Denis Sassou Nguesso, in Kigali later yesterday.The international community has been alarmed by the swift advance of M23 rebels in the DRC’s mineral-rich but underdeveloped eastern Kivu region. It was the advance, which has already displaced tens of thousands of civilians, and the rebels’ threat to march on Kinshasa that prompted the convening of yesterday’s summit.

“A mechanism or plan is being worked out to get them to withdraw,” Ugandan Foreign minister Sam Kutesa told journalists ahead of the meeting.M23’s political leader, Jean-Marie Runiga Lugerero, was expected to hold separate talks with President Museveni later yesterday.“There has not been a meeting yet. We are still waiting,” said Rene Abandi, head of external relations for M23’s political wing.

The rebels captured Goma, the capital of North Kivu province, on Tuesday after less than a week of fighting before taking the key town of Sake 20 kilometres (12 miles) to the west the next day.Reports yesterday said the situation was calm but tense in both towns.Mr Kabila had met with the leaders of Rwanda and Uganda immediately following the fall of Goma and the three leaders issued a joint statement urging the rebels to pull out of the city.The M23 has refused to withdraw unless Mr Kabila agrees to direct peace talks with the group.
The UN has also accused Uganda of backing the M23 rebels, charges that Uganda denies.
Source :   THE  CITIZEN

Mbeki alilia mabilioni yaliyofichwa nje.

RAIS Mtaafu wa Afrika Kusini, Thabo Mbeki amesema Bara la Afrika linapaswa kudhibiti utoroshaji wa rasilimali zake kwenda nje ya bara hilo, kwani ni moja ya sababu za maisha ya watu wake kuendelea kuwa duni.Rais Mbeki alisema jana jijini Dar es Salaam kuwa taarifa mbalimbali zinaonyesha kuwa rasilimali zenye thamani zaidi ya Dola za Kimarekani Bilioni 50 hutoroshwa kila mwaka kutoka nchi za Afrika na kwenda kuwanufaisha watu wengine nje ya bara hilo.“Taarifa zinaonyesha kuwa rasilimali zenye thamani zaidi ya Dola za Kimarekani Bilioni 50 hutoroshwa kila mwaka kwenda nje ya Afrika, lakini kwa mtizamo wangu mimi ni kwamba thamani halisi inaweza kuwa hata mara mbili (Dola za Kimarekani Bilioni 100) kwa mwaka,”alisema Mbeki.
Mbeki alikuwa akizungumza kwenye mjadala kuhusu “uongozi wenye malengo kwa ajili ya mabadiliko ya Afrika” ulioandaliwa kwa pamoja baina ya taasisi ya Uongozi (Uongozi Institute) ya hapa nchini na Mbeki Faoundation ya Afirka Kusini.
Kiongozi huyo alisema utoroshaji wa rasilimali hizo ni matokeo ya udhahifu katika usimamizi wake, na kwamba lazima Serikali za Afrika zichukue hatua kudhibiti utoroshaji huo.
Kauli ya Mbeki imekuja wakati Tanzania ikiwa katika mjadala mkali kuhusu taarifa kwamba baadhi ya vigogo wameficha mabilioni ya fedha nchini Uswisi, hivyo kuwapo shinikizo la kutaka wahusika watajwe na fedha hizo zirejeshwe nchini.Taarifa hizo ziliibuliwa na mapema mwaka huu na baadhi ya vyombo vya habari likiwamo Gazeti hili na baadaye ilibainika kwamba fedha hizo ni mali ya Watanzania 27 wakiwemo wanasiasa na wafanyabiashara. Gazeti hili pia lilibaini kwamba mmoja wa walioficha fedha hizo anamiliki Dola za Marekani milioni 56 (sawa na Sh89.6 bilioni).
Katika uchunguzi wake, Mwananchi imebaini pia kuwa kiasi cha fedha kilichothibitishwa kumilikiwa na Watanzania hao ni jumla ya Dola za Marekani 186 milioni (Karibu Sh300 bilioni) kwa viwango vya sasa vya kubadilishia fedha ambavyo ni Sh1600 kwa Dola ya Marekani.
Taarifa hizo zinaeleza kuwa mbali na kigogo anayemiliki Sh90 bilioni, wapo wengine wanne, ambapo anayefuatia anamiliki Dola 30 milioni (Sh48 bilioni), mwingine Dola 20 milioni (Sh32 bilioni) na wengine wawili kila mmoja anamiliki Dola 10 milioni (Sh16 bilioni).
Chanzo :    Gazeti  la Mwananchi 

Duu MAZIWA Matamu...


Mwakyembe azuia watumishi wizara yake kupanda daraja la kwanza kwenye ndege

WAZIRI wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe amewapiga marufuku wafanyakazi wote walio chini ya wizara yake kusafiri kwa ndege katika daraja la kwanza, akieleza kuwa huo ni ubadhirifu wa fedha za umma.Akizungumza na waandishi wa habari mkoani  Tanga jana, Mwakyembe alisema atakayekaidi  agizo hilo, atakatwa fedha katika mshahara wake.
Mwakyembe ambaye tangu ateuliwe kuwa Waziri wa Uchukuzi amekuwa akifanya uamuzi magumu, alisema hawezi kuvumiliamtu yeyote ambaye atatumia hovyo fedha za walipa kodi, huku akiwataka wafanyakazi wa wizara yake kufanya kazi kwa maadili na kuwatumikia wananchi.
“Kulingana na hali halisi ya maisha ya baadhi ya ya  Watanzania, wizara yangu haitakuwa tayari kuona fedha zikitafunwa na watu wachache kwa njia za kifisadi. Matumizi yafanyike kulingana na hali halisi ya Watanzania,” alisema Mwakyembe na kuongeza;“Kuanzia leo nawapiga marufuku watendaji wote wa wizara yangu kusafiri na ndege kwa kutumia daraja la kwanza.”

Akizungumzia hali za Mamlaka za Bandari Tanzania (TPA), Dk Mwakyembe alisema, Wizara yake imeunda bodi ya watu wanane ambao wataanza kazi Januari mwakani. Alisema kikosi kazi hicho, kitaleta mapinduzi ya utendaji wa kazi katika mamlaka hiyo.

Alisema bodi hiyo itatambulishwa mara baada ya kukamilika kwa baadhi ya mambo muhimu na hivyo kuwataka wananchi kuwa wavumilivu.Alisema kwa sasa bodi hiyo imeanza mikakati ya kuhakikisha Tanzania inaingia kwa nguvu zote katika soko la ushindani la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC).

Alisema Wizara yake inakusudia kuleta mageuzi katika sekta ya usafirishaji katika bandari zake (PTA) ili kuweza kuleta ushindani wa kibiashara na nchi jirani na  kuweza kuwavutia wafanyabiashara watakaoweza kushusha shehena zao katika  bandari zake.‘Baada ya kuunda  bodi mpya ya watu wanane ya (PTA), tumedhamiria kwa dhati kuondoa madudu ambayo yalikuwa yanatusumbua katika bandari zetu na kuonekana kama tumeshindwa,” alisema Dk Mwakyembe.
Akizungumzia kuhusu Bandari Mpya ya Mwambani ambayo ujenzi wake bado haujaanza, Waziri Mwakyembe, alisema wale ambao wana ubeza mradi huo mwisho wake wataumbuka kwani ndani ya miezi sita ijayo utaanza.
Chanzo   Gazeti  la Mwananchi.

RIPOTI YA AJALI YA MELI MV SKAGIT - HII HAPA.

Tume ya kuchunguza ajali ya boti ya MV Skagit, imekamilisha uchunguzi wake na kubainisha kuwa Nahodha aliyekuwa akiendesha boti hiyo hakuwa na sifa wala ujuzi na kupendekeza viongozi kadhaa wachukuliwe hatua za kinidhamu.
Kutokana na kutokuwa na ujuzi, Nahodha huyo alishindwa kuwaandaa abiria wake kujiokoa wala kutoa taarifa ya dharura kwa vyombo vinavyohusika na mambo ya usalama, licha ya kuona boti yake ipo katika hatari za kuzama.

Katibu Mkuu Kiongozi wa SMZ, Dk. Abdulhamid Yahya Mzee, alisema serikali imeyakubali mapendekezo yote na kuyafanyia kazi kwa kuwachukulia hatua za kisheria na kinidhamu waliohusika na uzembe na kusababisha vifo vya watu wasio na hatia.
Dk. Abdulhamid ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi, alisema Nahodha Makame Mussa Makame alikuwa akiendesha boti ya MV Skagit bila kuwa na cheti cha umahiri.
Alisema kitendo hicho ni kinyume na sheria kifungu 167(1), cha sheria ya usafiri wa baharini Zanzibar namba 5 ya mwaka 2006.

Aidha alisema ripoti hiyo imebaini Nahodha alikuwa akiendesha meli hiyo, huku akijua meli hiyo haipo salama kwa kutokuwepo Mhandisi Mkuu wakati wa safari zake, na badala yake alikuwepo Mhandisi Msaidizi asiye na sifa kitu ambacho ni kinyume na kifungu cha sheria ya usafiri wa baharini 321(1) namba 5 ya mwaka 2006.

Aliongeza kuwa uzembe umebainika baada ya meli hiyo kupakia abiria 431 badala ya uwezo wake wa abiria 250 kitu ambacho ni kinyume na kanuni ya 4 na 5 za kanuni ya hesabu na usajili wa abiria ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano ya mwaka 2011.

Alisema ripoti hiyo imebaini maiti 81 zilipatikana na kutambuliwa majina yao, na watu 212 wamepotea kusikojulikana, na 154 waliokolewa katika ajali hiyo wakiwemo raia wa kigeni 18, na watatu walikufa.

Alisema tume imependekeza mmiliki na nahodha wa boti hiyo washitakiwe kwa kosa la kusababisha vifo kutokana na uzembe.

Jaji Abdlhakim Ameir Issa, ambaye alikuwa akiongoza tume hiyo alisema tume imependekeza aliyekuwa Kaimu Mkaguzi wa meli, Juma Seif Juma, achukuliwe hatua za kinidhamu kwa kuisajili boti ya MV Skagit na kuipatia cheti cha usajili wa muda pamoja na cheti cha usajili wa kudumu bila ya kufuata masharti ya usajili yaliyowekwa kwa mujibu wa sheria katika kifungu cha 31 namba 5 ya mwaka 2006.

Tume hiyo pia imependekeza Mkaguzi wa kujitegemea, Captain Saad Shafi Adam, kuchukuliwa hatua za kinidhamu ikiwemo kufutwa uteuzi wake wa kuwa mkaguzi wa meli anayetumiwa na ZMA, kwa kutoa mapendekezo ya kusajiliwa MV Skagit, baada ya kuifanyia ukaguzi ambao haukufuata masharti ya vifungu vya 192 na 194 vya sheria ya usafiri wa baharini, namba 5/2006.

Wengine waliopendekezwa na tume hiyo kuchukuliwa hatua za kinidhamu ni Maafisa Usalama wa Bandari ya Dar es salaam, Johari Mikidadi, Ndumbati na Peter Ndimbwa Mwasi, kwa kushindwa kudhibiti uingiaji wa abiria kinyume na majukumu yao ya kazi.

“Tume inapendekeza Mmiliki wa meli hiyo ambaye ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Seagull Sea Transport Said Abdulrahman Mbuzi achukuliwe hatua za kisheria kwa kufanya biashara ya usafiri wa baharini kwa kutumia chombo ambacho hakikusajiliwa kwa mujibu wa sheria ya usafiri wa baharini Zanzibar namba 5/2006,” alisema Dk. Abdulhamid Mzee.

Aidha, tume hiyo imependekeza fidia za aina tatu za kuwalipa waathirika sawa na kima cha chini cha mshahara kwa muda wa miezi 80. Kima cha chini cha Zanzibar Sh. 150,000 kitakipwa kwa waliofariki, wakati walionusurika na kupata ulemavu walipwe asilimia 75 ya kiwango hicho, na asilimia 50 ya kiwango hicho walipwe walionusurika bila ya kupata ulemavu.

HABARI NA MWINYI SADALLAH
SOURCE: NIPASHE

TAARIFA KWA UMMA

TIKETI ZA FAINALI ZA AFCON 2013 KUPATIKANA KWA MTANDAO
Washabiki wanaotaka kushuhudia Fainali za 29 za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) zitakazofanyika Januari mwakani nchini Afrika Kusini watapata tiketi kwa njia ya mtandao.
Kwa mujibu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) tiketi kwa ajili ya washabiki (public tickets) wanaotaka kuhudhuria fainali hizo zitakazoanza Januari 19 na kumalizika Februari 10 mwaka huu, zitauzwa kupitia mtandao wa www.afcon2013booking@eqtickets.com. Pia tiketi zitapatikana kupitia simu namba +27 879803000.
Fainali hizo zinazoshirikisha timu 16 zitachezwa Johannesburg, Nelson Mandela Bay, Mbombela, Durban na Rustenburg. Mechi ya fainali itachezwa Februari 10 mwaka huu kwenye Uwanja wa Soccer City jijini Johanesburg kuanzia saa 2 usiku kwa saa za Afrika Kusini.
Mechi ya ufunguzi wa fainali hizo itachezwa Januari 19 mwaka huu ambapo wenyeji Afrika Kusini (Bafana Bafana) wataumana na Cape Verde kuanzia saa 12 jioni kwenye Uwanja wa Soccer City. 
Angola na Morocco zitacheza mechi ya pili kwenye uwanja huo huo kuanzia saa 3 usiku. Timu zote hizo ni za kundi A. Mabingwa watetezi Zambia wako kundi C na wataanza mechi yao ya kwanza Januari 21 mwaka huu dhidi ya Ethiopia saa 11 jioni kwenye Uwanja wa Mbombela. Timu nyingine katika kundi hilo ni Nigeria na Burkina Faso.
Boniface Wambura
Ofisa Habari
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)

MOBILE NUMBER PORTABILITY .

 There is good news for Tanzania.  The telecommunication industry is set for a great leap as plans are underway to introduce mobile number portability (MNP).Mobile number portability allows a subscriber to shift to another network operator of their choice with the same number by simply informing the service provider.Elsewhere across the world, others are already doing things that way. Tanzania Communication Regulatory Authority (TCRA) says it has taken various measures including preparing the necessary regulations to facilitate for MNP and possibly the system will be in place come next year.

Porting is expected not only to give customers more freedom but also escalate competition in the mobile communication industry.There are subscribers who are frustrated by their operators and would mind changing SIM cards but they fear losing important business contacts.A new dawn is coming. The freedom to move from one provider to another will allow customers to punish their ineffective network providers by denying them revenue.We believe this will challenge the operators and sometimes they will have to work day and night to improve services and even reduce charges to retain their customers.However, we would like to urge the regulator to be cautious of the possible shortcomings that may rise from the system so that it does not end up frustrating innocent customers.The competitors may possibly sabotage the shift by blocking calls from their rivals to punish subscribers who exercise their legal freedom of porting.  In fact, Tanzania is not the first country to adopt MNP. The system already exists in Morocco, Kenya, Egypt and South Africa. It is therefore time to learn from the experience of other countries:What happened, how they handled it and ultimately how the system works until now, so the same problems will not happen here.
The two-day forum which the TCRA is hosting today and tomorrow should be a platform for operators, regulators, experts and even consumers to learn necessary things required to allow smooth implementation of the MNP.
Source :  http://www.thecitizen.co.tz/editorial-analysis/19-editorial-comments/27196-mobile-number-portability-apt-but-lets-be-cautious

Kimenuka Chelsea - RDM Afungashiwa Virago


Mechi  zili  mponza    hadi  kufukuzwa 
Juventus  3    Chelsea   0

West Brom Albion 2   Chelsea 1

Kwa  habari  zaidi    soma  http://www.telegraph.co.uk/sport/football/teams/chelsea/9692822/Roberto-Di-Matteo-fired-as-Chelsea-manager-in-4am-meeting-after-3-0-defeat-against-Juventus.html

Jukwaa la Katiba ‘lamchefua’ Jaji Warioba.

MWENYEKITI wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, amesema Katiba Mpya itapatikana April mwaka 2014 kama kalenda ya tume hiyo, inavyoonyesha licha ya Jukwaa la Katiba Tanzania kukosoa hata ratiba ya mikutano ya utoaji wa maoni.Amesema Jukwaa hilo linakosoa hata muda wa kufanya mikutano ambayo ni asubuhi na mchana na kuhoji kama jukwaa linataka kazi hiyo inafanyike usiku.
Jaji Warioba alisema hayo jana jijini Dar es Salaam, katika mkutano wake na waandishi wa habari.“ Hawa jamaa sasa wanakosoa kila kitu hata ratiba yetu ya kufanya mikutano asubuhi na jioni, hivi wanataka tuwe tunafanya mikutano usiku,” alihoji Warioba.Alisema katiba hiyo itakuwa imekamilika katika kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 na kwamba  muda utakaobaki utatosha kuzifanyia marekebisho sheria zitakazohitajika baada ya mabadiliko ya Katiba Mpya.
        Jukwaa la Katiba Tanzania, Jumamosi iliyopita lilitaka sheria ya mabadiliko irekebishwe, ili mchakato wa kupata Katiba Mpya uendelee baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2015.
“Hawa jamaa wa Jukwaa la Katiba nawashangaa sana, wanataka tufuate wanayoyataka badala ya sisi kufuata sheria ya tume, tuna uzoefu wa kazi hii,” alisema Jaji Warioba.
Chanzo :  http://www.mwananchi.co.tz/habari/Siasa/-/1597332/1624684/-/br6dxxz/-/index.html

Kibonzo .


Serengeti Boys yapata ushindi mwembamba

TIMU ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Boys   imeifunga  1-0 dhidi  ya   Kongo Brazzaville,  kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam katika mchezo wa kwanza wa Raundi ya Tatu na ya mwisho kuwania tiketi ya kucheza Fainali za vijana wa umri huo Afrika zitakazopigwa nchini Morocco mwakani. Kwa matokeo hayo, Serengeti sasa inahitaji hata sare yoyote katika mchezo wa marudiano wiki mbili zijazo mjini Brazzaville ili kukata tiketi ya Morocco mwakani.
Kwa ujumla Serengeti walipigana katika mchezo wa leo, kwani wapinzani wao walionekana kuwa bora na wenye uzoefu zaidi yao.

Bao hilo lilifungwa kwa shuti la mpira wa adhabu na beki Mudathir Yahya Abbas kutoka umbali wa mita 22 na mpira kabla ya kutinga nyavuni ulimbabatiza beki mmoja wa Kongo na kumpoteza njia kipa Ombandza Mpea Joe na kujaa nyavuni.

Tanzania; Peter Manyika Peter, Miza Kriston Abdallah, Mohamed Hussein Mohamed, Ismail Adam Gambo, Miraj Adam Suleiman, Mudathir Yahya Abbas, Mohamed Salum Haroub, Joseph Kimwaga Lubasha/Dickson Isaac Ambundo, Hussein Twaha Ibrahim, Suleiman Hamisi Bofu/Tumaini Baraka Mosha na Farid Mussa Shah.
Kongo Brazzaville; Ombandza Mpea Joe, Tmouele Ngampio, Mabiala Gharlevy, Okimbi Francis, Ondongo Boungena, Ibra Vinny/Issambey Lonvreve, Binguila Handy, Obassi Ngatsongo, Mohendiki Brel, Atoni Mavoungou na Biassadila Arei.

Chelsea, Man U zapokea Kipigo, Arsenal Man City Zatakata.

                                             West  Bromwich Albion  2    Chelsea 1




                                                      Norwich 1   Manchester   United 0



                                                 Arsenal 5  Tottenham 2



                                             Liverpool 3   Wigan 0

More  results  visit  http://www.flashscore.com/soccer/england/premier-league/?gclid=CLO2vsrm1rMCFaTKtAodkxkALw

Graphics Designs & Blogger Software Management Course.


DPP amfutia kesi mshirika wa Ponda- ULINZI MKALI WATAWALA

MKURUGENZI wa Mashtaka nchini (DPP), amemfutia kesi mmoja wa washtakiwa waliojumuishwa katika kesi inayomkabili Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda na wenzake.Pia katika kesi hiyo iliyofunguliwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, hakimu ameuamuru upande wa mashtaka uache utaratibu wa kumwingiza mahakamani mshtakiwa wa kwanza, Sheikh Ponda akiwa amefungwa pingu.

Aliyefutiwa mashtaka jana ni mshitakiwa wa 35 katika kesi hiyo, Rashid Omar.Wakili wa Serikali Mwandamizi, Tumaini Kweka ndiye aliyetoa taarifa kuhusu uamuzi huo wa DPP wakati wa usikilizwaji wa maelezo ya awali wa kesi hiyo jana.
 Sheikh Ponda Issa Ponda akizungumza na wakili wake
                                            Watuhumiwa wakiwa mahakamani


   Askari  maalumu   wakiwa  tayari  kwa  varangati   lolote
                              Hapa   fanya  fujo  uone -  Jamaa  wana  kiu    kwelikweli  na  chafuko  lolote .
   Doria     kama  kawa
     Ulinzi   kama   dawa  vile ,  hapiti  mtu  pasiko  kukaguliwa
                                           Du   hadi   inatishaa ,   cheki  hapa...

  Ulinzi   kama  kawaida   ulikuwa  mkali  ,  ili  kudhitibi  usalama  wakati  wa  kesi  ikisomwa.
Picha    na  Taarifa  kwa  hisani  ya  gazeti  la  mwananchi  na    blog  ya   http://richard-mwaikenda.blogspot.com/

MMOJA AUAWA KATIKA VURUGU ZA WAMACHINGA NA MGAMBO MWANZA

MWENDESHA mkokoteni amekufa na na watu wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya kupigwa risasi katika vurugu kubwa zilizozuka  kati ya askari mgambo wa Jiji  la Mwanza na wafanyabiashara ndogo ndogo (Machinga) Jijini Mwanza leo.
 
Mapambano hayo yalianza majira ya saa 4:00 ausubuhi na kusababisha maduka kufungwa pamoja na biashara mbalimbali kutofanyika.
Tukio la kuuawa kwa mwendesha mkokoteni  huyokatika soko kuu la Jiji la Mwanza, lilitokea baada ya askari mgambo kuwafyatulia risasi machinga waliokuwa wakipambanan kuzuia mgambo hao wasichukue mali zao .
 Mgambo hao walifika eneo hilo la stendi kuu ya zamani mabasi ya Tanganyika basi kisha kuzoa mali za wafanyaibishara hao kwa madai kuwa wanafanya shughuli hizo kinyume cah sheria katika ameneo yasiyoruhusiwa an halmashauri ya jiji la Mwanza. 
 
Kutokana hali machinga hao walipinga bidhaa zao walizopanga chini (mali) kuchukuliwa na mgambo hao wa jiji ndipo mmoja wao aliyekuiwa na bunduki aina ya short gun akawafyatulia risasi ambazo zilimpiga kuli huyo upande wa kushoto na kufariki dunia papo hapo.
 Mbali nakuli huyo derebva wa gari moja aina ya canter naye alijeruhiwa sikio la upande wa kushoto na machinga mmoja kujeruhiwa mkono wa kushoto kwenye kiwiko.

 Kaimu kamnda wa polisi Mkoa wa Mwanza, Ofisa Mnadhimu (SO) SSP Lilian Matola , alitihibitisha kutokea kwa vurugu hizo ambazo zilisababisha kifo bna majeruhi na kwamba jeshi hilo lilingia mtaani kutuliza ghasia hizo ambazo zilidumu kwa saa nne.

 Alisema askari mgambo wa jiji wanaotuhumiwa kusababisha kifo na majeruhi hao wanashikiliwa na jeshi hilo kwa ajili ya uchunguzi wa tukio hilo.

 Kwa mujibu wa SSP Matola , mgambo hao wa jiji walitumia risasi hizo za moto kwa nia ya kujihami na kundi la wafanyabiashara hao ambao walikuwa wakiwashambulia kwa mawe.

 Alisema majeruhi wamelazwa katika hospitali ya Rufaa ya Bugando (BMC ) ya jijini hapa, huku mwili wa marehemu huyo ukihifadhiwa katika chumba cha maiti cha hospitali hiyo.

 Aidha Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza, Stanslaus Mabula, aakizungumza na wandishi wa habati kwenye ukumbi wa jiji jana jioni alisema hakukuwa na opereshani maalumu ya kuwaondo machinga katika meneo hao bali shughuli za kawaida za halmashauri hiyo kuhakikisha jiji liakuiwa safi.

 Alisema kuwa kilichotokea ni kutokana na mgongano wa mawazo kati ya mgambo na machinga hali iliyosababisha askari hao wa jiji kutumia risasi za moto,hivyo akaomba radhi kwa tukio hilo na kutoia pole kwa ndugu na familia za marehemu pamoja na ndugu wa majeruhi na majeruhi wenyewe.

 Meya huyo alisema vurugu hizo hazihusiani na chama chochote cha siasa bali ni tukio la bahati mbaya, hivyo uongozi wa jijini unasikitishwa mno na tukio hilo.

“Niseme kuwa vurugu hizi hazihusiani na chama chochote, si chama change cha CCM ama watani wetu CHADEMA, ni tukio la bahati mbaya.Kila tunapofanya operesheni tunahusiha vyombo vya usalama, wamchinga wenyewe na madiwani,”alisema Mabula na kuiongfeza kuwa ;

“Inasemekana kwamba risasi za moto zilitumika katika zoezi hilo na kusababisha watu kupoteza maisha na baadhi kujeruhiwa.Kwa sasa suala hili liko katika vyopmbo vya ulinzi na usalama kwa uchunguzi zaidi ili kubaini kitu gani kimetokea.”

Alikiri kuwa askari walioajiriwa na jiji wamepitia mafunzo ya mgambo,hivyo kitendo cha kutumia silaha ama matumizi mabaya ya silaha ni kinyume cha sheria.Ikitihibtika kuwa walifanya makosa hayo sheria itachukua mkondo wake.

 Alisema watuhumiwa wa tukio hilo wanashikiliwa na jeshi la polisiu kwa ajili ya kuchunguza kama walitumia silaha vibaya.

 Hata hivyo Mabula alisema kuwa pamoja na jiji kuwa sheria ndogo ndogo bado haliwezi kuwaondoa machinga katika maeneo ya katikati ya jiji kwa kuwa linawatambua kutokana na kazi yao ya ujasiriamali inayowapa kipato.

leo kutwa nzima ukiondoa soko kuu biashara mbalimbali zikiwemo za maduka na aina zingine zilishindikana kufanyika kutokana na vurugu hizo pamoja na jeshi la polisi kutumika kuwatawanya kwa amani machinga hao.

 Vurugu kama hizo zimewahi kutokea mara kadhaa na kusababisha uharibifu wa mali,kuchoma moto magari , kuvunja milango na viio vya baadhi ya maduka na kupora mali,ambapo watru kadhaa walijeruhiwa na wengine kufariki kwa kupigwa risasi za moto.

Best African ICT Blog - Global Voices Online-Sub Saharan Africa.




Visit   him  @  http://globalvoicesonline.org/author/ndesanjo-macha/page/3/
Chears
Onbehalf
Net Media 
Management  

Uongozi wa MANJI wafaanya Maajabu - Watoa Taarifa ya Mapato na Matumizi.



YOUNG AFRICANS REGISTERED TRUSTEES (YANGA)













P.O.BOX 15202



               



DAR ES SALAAM







TANZANIA                    







Tel: 022 2180011

















E-Mail: info@youngafricans.co.tz                                        Website: www.youngafricans.co.tz










STATEMENT OF PROFIT & LOSS











(FOR THE PERIOD 15 JULY 2012 To 14 OCTOBER 2012)











RECEIPTS (in Tanzanian Shillings)






1 Grants
     601,373,185.00
57.7%


2 Gate Collection
     190,731,132.00
18.3%


3 Sponsorship Income
      80,000,000.00
7.7% Note 1

4 Trade Mark Licensing
  112,144,000.00
10.8%


5 Prize Money
    55,300,000.00
5.3%


6 Member Registration
        2,529,000.00
0.2%


7 Broadcasting Income
                        -  
0.0%


7 Rent Income
                        -  
0.0%


8 Merchandising
                        -  
0.0%






  1,042,077,317.00




EXPENDITURE (in Tanzanian Shillings)






1 Approved Expenses








Accommodation Expenses       37,629,160.00







Allowance Expenses         3,710,000.00







Bank Charges           524,444.94







Foods & Beverages             88,300.00







Fuel Expenses         1,245,000.00







Local Transport Expenses         7,276,000.00







Maintenance Exp           305,000.00







Medical Expenses         2,013,000.00







Misc Expenses         1,402,000.00







Player Registration Exp.     375,325,000.00







Salary & Wages     126,905,000.00







Stationary & Printing           626,500.00







Telephone Expenses             20,000.00







Training Expenses for Players           294,000.00







Training Fees         1,935,483.87







Travel Expenses       39,380,125.00      598,679,013.81
53.6%


2 Approved Expenses - Not Substantiated







Salary and Wages            100,000.00







Suspense      288,190,816.00      288,290,816.00
25.8% Note 2











3 Unapproved - Not Substantiated
      85,652,968.00
7.7% Note 3











4 Unapproved - Substantiated
8,666,000.00
0.8% Note 4











5 Provision 135,063,290.00 135,063,290.00
12.1% Note 5












Total Expenses
1,116,352,087.81

























Surplus/(Deficit) (in Tanzanian Shillings) (74,274,770.81)


































Note 1 The "Sponsorship Income" of Tshs 80,000,000.00 for the period of 15th July, 2012 till 14th October, 2012  is solely from Tanzania Breweries Limited. There was no sponsorship income received for participation in the Premier League from TFF for Vodacom's sponsorship of the Premier League.











Note 2 The "Suspense" amount of Tshs 288,190,816.00 is for transactions that have not yet been satisfactorily accounted for. The major items are: Tshs 55.3 mill prize money of Kagame Cup, Tshs. 30 mill for Pre Season Rwanda trip, Tshs. 30 mill for Player Signing fees, Tshs. 19.8 mill paid for termination of Players Contracts, Tshs 16.5 mill bonus paid to players, Tshs. 8 mill paid to CECAFA, Tshs. 3 mill for accommodation of Team Coach, Tshs. 57.8 mill other sums.











Note 3 The "Unapproved - Not Substantiated" amount of Tshs 85,652,968.00 was paid from 15th July, 2012 till 20th August, 2012 by the Secretary General  without approval or input of the Executive Committee elected on 15th July, 2012 and no supporting documents have been found to substantiate the requirement of payment(s). 











Note 4 The sum under the heading "Unapproved - Substantiated" of Tshs 8,666,000.00 was paid by the Secretary General from 15th July, 2012 till 20th August, 2012 without approval or input of the Executive Committee elected on 15th July, 2012 but there are documents to substantiate proof of outstanding(s). 











Note 5
The "Provision" amount of Tshs 135,063,290.00 has been made primarily due to new creditors that have made demands for payments for period prior to 15th July, 2012 but no information of their existence has been found by Executive Committee elected on 15th July, 2012. Verification is currently being undertaken for such claims.
































(YUSUF MEHBUB MANJI)
(LAWRENCE MWALUSAKO)






Chairman
Ag. Secretary General
© Copyright Daniel Blog in Contemporary News
Back To Top